Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa

kwenye maneno yako ya mwisho ndo nimekuelewa wangekuwa washaleta kash kash polisi nakuvunjwa vunjwa miguu na mabomu umekuja kutukejeli au kututisha?? kwa akili yako jeshi lako linaweza kudhibiti watu ml 50 wenye hasira?? NB kiukweli si ni wanafiki hatutofautiani na wale panya TUMFUNGE PAKA KENGERE
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.

Kwa kweli!
 
Maisha ya Wilbroad Slaa kisiasa na kiuzalendo yalifika Kikomo pale ambapo aliwakana wapinzani wenzake enzi za Rais John Magufuli na kukimbilia mkate wa kuwa balozi huko Canada.

Wilbroad Slaa, wakati wapinzani wanapambania demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari na Utawala Bora katika awamu hii iliyopita, yeye aliwageuka na kutugeuka watanzania hadi kufikia hatua ya kusema kwamba hakuna haja ya katiba mpya, Rais JPM aachwe ainyooshe nchi.

Kama hiyo haitoshi, kipindi wenzake wamepewa kesi za kubumba na mwendazake ambapo hata hivyo Mh Rais Samia alikuja kuzifuta yeye aliwasagia kunguni na kusema hao siyo wapinzani,ni wapinga maendeleo.

Leo hii zama zimembadilikia na anaonekana kwenda kuozea selo hakuna hata chama Cha siasa kutoka upinzani kinachohangaika nae, Wilbroad Slaa amepuuzwa kama vile ambavyo yeye aliwapuuza wenzake.

Ama hakika kuimba ni kupokezana,Unafiki,Njaa na Uchu wa madaraka wa Wilbroad Slaa na tamaa zake za fisi zimepelekea awe na mwisho wa fedheha katika siasa za Tanzania...
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.
Sitakulaumu,may be inatokana na kutokujua kwako mambo mengi ya ya kimapinduzi. Nianze na Congo Lumumba hakuungwa mkono na wote hadharani, hapa kwenu wapo walimuacha Nyerere peke yake, Nenda msumbiji Samaora vivyo hivyo. Huko SA nako lakini walimuunga kimya kimya Kwa kuihofu dola
 
Mkuu ww sio mtanzania kwani? Mbona unabaki kulaumu ilhali pia na ww ni mwananchi...kwnn usianze kujitokeza ww ukatoa mfano..kwnn waanze wengine na si ww
Huyu sexless aliwahi kututisha kwenye maandamano flani ya chadema kipindi cha Magufuli angetoka na dumu la petroli na angejichoma hadharani ila hakutekeleza. Ni muongo sana
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.
Huna taarifa!
 
But here on JF we have Keyboard Warriors who are tirelessly shouting for their release! Ahahahahaha! But don't tell them to go on streets! Ahahahahaha! I like these JF Keyboard Warriors! Ahahahahaha!!!
 
Bado tuko nao pamoja ndio maana tunawataka polisi wawapeleke mahakamani, ulitaka tufanyaje zaid ya kupata sauti waachiwe?
 
Huo si unafiki ni ujanja wa akili.
Mmmh, Slaa alitakiwa ajue wanamng'ong'a siyo kumshangilia, Diaspora ni wakimbizi huwezi kuwategemea . Na yule Wakili alivua joho lake na kuitukana mahakama hazarani, walitegemea nini? Kina Mnyika na mariasarangi na fatmakarume na tundulissu wameingia mitini!!
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.
Tena ungebafilisha kauli"watanzania tuombe ya kutokea yasiyokee" hivi inajua Hali ya watu walivyochoka na CCM huku mitaani? Tuombe kibanda kisiungue maana Hali ni Tete na raia wamechoka. Fanya analysis
 
Back
Top Bottom