little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Katika hilo sikupingi kabisa mkuu.kauli za uchochezi na kujenga chuki, Rwanda walianzaga hivi hivi na kanisa ilihusika kupandika chuki mwishowe wakaingia kwenye mauaji ya kimbari. Neno huumba, kumbuka kila kitu kiliumbwa kwa neno ikiwa pamoja na dunia yenyewe.