Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa

Watanzania wanafiki sana. Tazama sasa wamewatelekeza Mwabukusi na Dkt. Slaa

Ufipa ni tatizo kuu!
FB_IMG_1692047468444.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kupendekeza Serikali ipinduliwe kwenye vyombo vya habari kama sio kosa basi hii nchi inahitaji sheria mpya.

Tufanye siasa ila sio kupendekeza Mapinduzi ya kijeshi
Hapana yatokee tu ,haiwezekani nchi hii iwe na walamba asali na walamba shubiri ,halafu tuone maisha sawa ,
 
Hivi nchi inapinduliwa na watu ambao ugumu tunaoouona ni kutokusikia Mama akisema kuhusu huo mkataba umekuaje kuaje😂😂.. are we serious.

Kwa Utanzania wangu na umri wangu. Hmma mpuuzi yoyote anayeweza , mwenye sababu za kutosheleza , Mwenye ushawishi hata mwenye Uwezo, wa kupindua serikali iliyopo madarakani kwa sababu za kipuuzi kama tunazojadili sikuhizi.

Amoung many people hamna yyte anayeelewa chochote kuhusu hiko kinachozungumwa kuhusu mikataba wengi ni maneno tu ya mitandaoni au magazetini.

Tufanyeni vitu vya maana aisee. Maisha yanatuhitaji, Familia, Sehemu za ibada, Marafiki, starehe. Zinatuhitaji sana Ndugu zangu. Huu upuuzi tunaouintertain hauna mbele wala nyuma. Na HATUWEZI FANYA LOLOTE maana hamna chochote cha maana. Hamna cha bandari wala nini sijui kuuzwa. Tushtuke.

Jambo la Mwisho, hizi kauli sijui watanganyka hamna aliyehusika hata kugoma sijui au kuvunjwa miguu, sijui kamtetee Huyu kamtetee yule, tunaowaponza ni wajinga wachache, wanaoongea wapo zao wanacomment humu na kuwasha vpn tu. Nyie hamiendi kugoma vituoni huko kuwaokoa hao wakina slaa.

Nani Humu anayesema tupo nao pamoja maraa oooh tunaenda kugoma mktaba, Nani amewahi kunyanyua miguu yake kwenda kufanya maandamano popote pale?

Anyenipinga anyooshe kidole.
 
Kwakweli sijui kwanini alikuwa akiripoka mambo ya uhaini yeye angejikita kwenye mikataba ya bandari

Mwacheni mzee akabebe mtondoo kautafuta mwenyewe.

Sioni kesi yoyote kwa Mdude na Mwambukusi.
Video full iko wapi....
"mhaini" slaa.
Acheni kutumia Neno uhaini kizembe hivyo, baadae watu watakuwa hawaliogopi tena hilo kosa maana limetumika hovyo.

Adhabu ya uhaini zamani huko ilikuwa ni kunyongwa.
Hakuna kosa kubwa kuliko uhaini.
 
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Mimi nilitegemea watu wenye misimamo mikali kama wewe, mnaothubutu kutukana mpaka marehemu, ndiyo mngekuwa msatari wa mbele. Kumbe nyie siasa kali zenu ni za kusakizia wengine tu?
Wewe na lisu hamfai. Alituambia wakati ule tuingie kwa rodi kuandamana wakati yeye anasepa kwenda ulaya! Machale yakatucheza, tukachicken; kumbe tungevunjwa miguu for nothing.
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.
siasa za Tanzania ni miyeyusho! tufanye kazi tumsaidie Rais jaman
 
Mkoa ambao unawahaini :;:; Samia amekwenda nanenane maajabu ya Karne ,haya hizo mahakama zilete hizo tafsiri
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.
Kwahiyo wewe umejitoa kwamba haupo kwatika hao waTanganyika...??
Ebu kwanza nikuulize, kwani wewe tayari umesha vunjwa miguu kwa makashkash...??
 
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.

Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?

Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.

Watanzania ni wanafiki sana.
"... mtanikumbuka kwa mema..." Daraja la Busisi linaendelea vizuri sana.
 
Back
Top Bottom