Tafsiri ya kauli: Serikali kupinduliwa inaweza pia kuwa na maana ya kuondolewa madarakani kwa njia ya kidemokrasia ama kwa kura au kwa Ibara ya 46A ya Katiba ya JMT (1977).All in all serekali haipinduliwi kirahisi kiasi hicho sometimes ni maneno tu yakuleta attention huyo hata MMJ getini kafika? Hao wataumiza vichwa wasiolewa.
Sio kiki, wanaoukataa mkataba wa ovyo wanamaanishaAkili ya kuambiwa changanya na ya kwako, kutafuta kiki hakuishii pazuri.
Kwahiyo ulitaka tukavamie kituo cha polisi?Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Ila prof hajasema serikali ipinduliwe , chungeni kauli zenu , mdomo uliponza kichwaWala usidhani kuwa wametelekezwa, tutawachangia fedha za kutosha na kesi hizo za michongo zitabuma!
Mkamatane basi na Prof.Anne Tibaijuka ambaye amashaanika uko Duniani "uzuzu" wa Mama yenu kwenye mikataba ya Bandari.
Hao watatoka wala hakuna kesi hapo ni uonevu wa kijinga tuTUACHANE NA MAMBO YA MIKATABA,TWENDENI TUKAONGEZE NGUVU MAHAKAMANI,AKILI ZETU TUPELEKE MAHAKAMANI MPAKA WENZETU SUALA LAO LIISHE NA WAWE HURU.
Wote hawana kesi, ni wapi Dr Slaa alisema atapindua nchi?Kwakweli sijui kwanini alikuwa akiripoka mambo ya uhaini yeye angejikita kwenye mikataba ya bandari
Mwacheni mzee akabebe mtondoo kautafuta mwenyewe.
Sioni kesi yoyote kwa Mdude na Mwambukusi.
Na mimi namshangaa, sijamuona akiandamana, anaongea Kwenye keyboard tu, wanataka kututanguliza mbele tuvunjwe miguuMimi nilitegemea watu wenye misimamo mikali kama wewe, mnaothubutu kutukana mpaka marehemu, ndiyo mngekuwa msatari wa mbele. Kumbe nyie siasa kali zenu ni za kusakizia wengine tu?
Wewe na lisu hamfai. Alituambia wakati ule tuingie kwa rodi kuandamana wakati yeye anasepa kwenda ulaya! Machale yakatucheza, tukachicken; kumbe tungevunjwa miguu for nothing.
👇Wote hawana kesi, ni wapi Dr Slaa alisema atapindua nchi?
Siku NILIYO ulizwa na kamanda wa police 🚨🚨 Kanda maalum kua WEWE NI NANI....Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Ujumbe wake umejieleza wazi kabisa...anataka vurugu zitokee...ndo maana nikamuuliza kwni yy sio mtanzania aanze yy kwanza kuliko kusakizia wengine???...au labda ni raia wa nchi nyngne....wakienda wengine wakadakwa halafu urudi tena hmu kuhamasisha wengine waende zaidi ama....kwnn asitoke yy tukaona yupo serious....sidhani hata kama mahakamani atatokea kwenda kusikiliza kesi....zaidi atabaki hmu mtandaoni kulalamika tuKwahiyo ulitaka tukavamie kituo cha polisi?
Swali ni mbona mmewatelekeza wanamapinduzi wenu. Yatokee vipi bila ninyi kwenda front line.Hapana yatokee tu ,haiwezekani nchi hii iwe na walamba asali na walamba shubiri ,halafu tuone maisha sawa ,
watanzania wana akili, siyo wehu km hao wapuuzi. Hata we mwenyewe inaonekana hamnazo, huwezi kudai kitu cha kipuuzi ambacho hakipo halafu utegemee kuungwa mkono. Huoni hata aibu unaongelea Tanganyika utegemeee wenye akili wakuunge mkono? Mpaka vilembwe vyenu nchi hii itakuwa Tanzania jana Rais amebold kuwa nchi haigawanyiki. Mwanakulitaka mwanakulipata walikuwa wanatafuta cheap popularity, wajinga sana wale. Nilishasemaga hakuna binadamu mpumbavu km Mwabukusi, mtu unatokwa povu utafikiri kuna mtu kakunyanganya mtoto wako? Mnafiki mpumbavu, huo uchungu wa bandari ya Dar Es Salaam yeye ameutoa wapi mtu yuko umbali wa kilomita zaidi ya 1000? Km siyo ukoloni ile bandari inawahusu zaidi wazanzibari kuliko hao wabara maana iko kilomita 50 tu kutoka Unguja, wazanzibari ni ndugu zetu wa asili wakoloni ndio waliotugawa, muungano ni mojawapo ya tunu za taifa hili hauvunjiki kwamwe. wale wataozea gerazani kwa upumbavu wao.Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
yeye ni mtanganyika nchi amabayo haipo kwenye ramani ya dunia kwa sasaMkuu ww sio mtanzania kwani? Mbona unabaki kulaumu ilhali pia na ww ni mwananchi...kwnn usianze kujitokeza ww ukatoa mfano..kwnn waanze wengine na si ww
kauli za uchochezi na kujenga chuki, Rwanda walianzaga hivi hivi na kanisa ilihusika kupandika chuki mwishowe wakaingia kwenye mauaji ya kimbari. Neno huumba, kumbuka kila kitu kiliumbwa kwa neno ikiwa pamoja na dunia yenyewe.All in all serekali haipinduliwi kirahisi kiasi hicho sometimes ni maneno tu yakuleta attention huyo hata MMJ getini kafika? Hao wataumiza vichwa wasiolewa.
Ni kauli za kawaida hizo, Kule Kenya mpaka wanatishia kwenda Ikulu kuntoa ruto kwa nguvu na hakuna kitu wanafanywaKwakweli sijui kwanini alikuwa akiripoka mambo ya uhaini yeye angejikita kwenye mikataba ya bandari
Mwacheni mzee akabebe mtondoo kautafuta mwenyewe.
Sioni kesi yoyote kwa Mdude na Mwambukusi.