little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 1,870
- 3,589
Katika hilo sikupingi kabisa mkuu.kauli za uchochezi na kujenga chuki, Rwanda walianzaga hivi hivi na kanisa ilihusika kupandika chuki mwishowe wakaingia kwenye mauaji ya kimbari. Neno huumba, kumbuka kila kitu kiliumbwa kwa neno ikiwa pamoja na dunia yenyewe.
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
siyo wanafiki wana akili bro huwezi mtetea mtu aliyekurupuka tu kijinga kuanza kutukana mamlaka hiyo nguvu anaipata wapi? wacha wavune walichoikipanda hakuna wakuwa tetea nani akavunjwe miguu barabarani kisa haomburula?Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
ila hawatarudia uropokaji wa kijinga, mtu mzima lazima ujiheshimu, tumia njia za kistaarbu kufikisha ujumbe utaeleweka. Watu wazima lazima tuwe mfano wa vijana. Sasa babu km Slaa kauli zile ni za mtu wa kaliba yake kweli? Hivi hata watoto wake wanamwelewa kweli? Hata Nelson Mandela hakuwa vileHao watatoka wala hakuna kesi hapo ni uonevu wa kijinga tu
Ufanye upuuzi mwenyewe harafu uje kutegemea walete kashkash? Watanzania hawana ujinga huoWakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
kama ni laana hamia burundi tyuache na nchi yetu tule mema ya nchiMalipo ya kuwapigania watu weusi ni kifo.
Watu weusi "Africans" sio wa kuwatetea wala kuwapigania haki zao.
Ni kuwa acha wateseke hadi wafe kabisa.
Ukikuta Mtu mweusi na Nyoka wanapigwa muokoe Nyoka [emoji216].
Uafrika hasa utanzania ni laana.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Hakuna wananchi waliowaunga mkono.Ndio ujuwe kuwa hawa ni wavunjifu wa amani.Hata Mwalimu Nyerere,hakuwaonea aibu wavunjifu wa amaniWakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Mema ya nchi unayajua wewe?kama ni laana hamia burundi tyuache na nchi yetu tule mema ya nchi
Nenda Polisi kawatetee.Unajificha nyuma ya keabord.Wala usidhani kuwa wametelekezwa, tutawachangia fedha za kutosha na kesi hizo za michongo zitabuma!
Mkamatane basi na Prof.Anne Tibaijuka ambaye amashaanika uko Duniani "uzuzu" wa Mama yenu kwenye mikataba ya Bandari.
yaani kama unateseka ni wewe pekeyako watu tunakula mema ya nchi bro kwa uhuru zaidi nani alikuambia kujiingiza kwenye huo ujinga nwenu nenda kawakomboe wenzako walioenda front wewe si unabweka amukiwa nyuma ya keyboard?Mema ya nchi unayajua wewe?
Ninyi kazi yenu kula Rushwa na Kodi za wananchi wanyonge halafu mnasema mema ya nchi.
Damn Fool.
Watu kama wewe mnadhihirisha ujinga na laana mliyo nayo.
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
kwakweli yaaniHakuna wananchi waliowaunga mkono.Ndio ujuwe kuwa hawa ni wavunjifu wa amani.Hata Mwalimu Nyerere,hakuwaonea aibu wavunjifu wa amani
1.Kuna wagonjwa
2.Wazee
3.Wanawake
4.Watoto
5.Wajawazito
Kukiingia vurugu wote hawa watateseka.
Huna jinsia wala uraia wa kueleweka.Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Damn fool.yaani kama unateseka ni wewe pekeyako watu tunakula mema ya nchi bro kwa uhuru zaidi nani alikuambia kujiingiza kwenye huo ujinga nwenu nenda kawakomboe wenzako walioenda front wewe si unabweka amukiwa nyuma ya keyboard?
mwenyewe kama ni tusi lakini wacha tule mema kila mkona sasahivi tz ni neema sijuiwewe ni wawapi mpka munateseka pekeyako?
safi sana hayo mengine tuwaachie wavimba vichwaKajala na harmonise sakata lao vp limeishia wapi..
Mondi kamjibu nini alik8ba aise
Wapi kuna show ya amapiano na singeli twende
Wasafi festivo lini inakuja dar
Ova