begi la pesa
JF-Expert Member
- Apr 11, 2019
- 1,124
- 1,946
Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Sio kupindua Nchi Nchi haipinduliwi kinachopinduliwa ni serikaliWote hawana kesi, ni wapi Dr Slaa alisema atapindua nchi?
Umesema Kenya je hapa ni waapi?Ni kauli za kawaida hizo, Kule Kenya mpaka wanatishia kwenda Ikulu kuntoa ruto kwa nguvu na hakuna kitu wanafanywa
Sitakulaumu,may be inatokana na kutokujua kwako mambo mengi ya ya kimapinduzi. Nianze na Congo Lumumba hakuungwa mkono na wote hadharani, hapa kwenu wapo walimuacha Nyerere peke yake, Nenda msumbiji Samaora vivyo hivyo. Huko SA nako lakini walimuunga kimya kimya Kwa kuihofu dolaWakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Huyu sexless aliwahi kututisha kwenye maandamano flani ya chadema kipindi cha Magufuli angetoka na dumu la petroli na angejichoma hadharani ila hakutekeleza. Ni muongo sanaMkuu ww sio mtanzania kwani? Mbona unabaki kulaumu ilhali pia na ww ni mwananchi...kwnn usianze kujitokeza ww ukatoa mfano..kwnn waanze wengine na si ww
[emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]Anavyolaumu anajisahau kwamba na yeye ni miongoni mwa WatanzaniaMkuu ww sio mtanzania kwani? Mbona unabaki kulaumu ilhali pia na ww ni mwananchi...kwnn usianze kujitokeza ww ukatoa mfano..kwnn waanze wengine na si ww
Ndiyo uoshe ni wapi alisema?Sio kupindua Nchi Nchi haipinduliwi kinachopinduliwa ni serikali
Huna taarifa!Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Au golden deer π¦πππWatu kama nyie kwanini usipandishwe New Force.
But here on JF we have Keyboard Warriors who are tirelessly shouting for their release! Ahahahahaha! But don't tell them to go on streets! Ahahahahaha! I like these JF Keyboard Warriors! Ahahahahaha!!!Wakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.
Lakini tangu walipotiwa nguvuni hakuna hata mtanganyika mmoja aliyeonesha nia ama aliyetoa tamko kali kupinga ukamataji huo. Yaani kundi lote lile la watanganyika lililokuwa likiwashabikia hakuna hata mmoja aliye tayari kufa kwa ajili yao?
Nilitegemea watu kadhaa wangekuwa washaleta kash-kashi polisi na kuvunjwa miguu kwa mabomu.
Watanzania ni wanafiki sana.
Mmmh, Slaa alitakiwa ajue wanamng'ong'a siyo kumshangilia, Diaspora ni wakimbizi huwezi kuwategemea . Na yule Wakili alivua joho lake na kuitukana mahakama hazarani, walitegemea nini? Kina Mnyika na mariasarangi na fatmakarume na tundulissu wameingia mitini!!Huo si unafiki ni ujanja wa akili.
Tena ungebafilisha kauli"watanzania tuombe ya kutokea yasiyokee" hivi inajua Hali ya watu walivyochoka na CCM huku mitaani? Tuombe kibanda kisiungue maana Hali ni Tete na raia wamechoka. Fanya analysisWakati Mwabukusi na Dr. Slaa wakijiapiza kusimama kidete kulinda mali za Tanganyika, watu wengi sana waliwaunga mkono na kuwashabikia.