Watanzania wanaosoma Urusi huwa wanachezewa akili na Warusi?

Nakumbuka miaka ya zamani ilisemekana wengi waliokwenda kusoma nchi za mashariki ya mbali na baadhi ya nchi za kikomunist wengi walivyorudi hawakuweza kupata watoto kwakile kilichodaiwa kuwa kuna dawa wanawekewa kwenye chakula pasipo wao kujua. Kulikuwa na dhana kuwa wenyeji walihofia mtu mweusi kuzaa na wanawake wao.

Kijijini kwetu yupo aliyekwenda Hungary kusomea udakitari akakaa 5yrs alivyorudi jamaa hakuwa na isue na wanawake tena hadi anastaafu (mungu amlaze pema). Ila kabla hajaenda Hungary aliacha girlfriend wake na aliporudi akawa mbali sn naye.

Likewise kuna mwingine alikwenda urusi ila Ukraine ya sasa kujifunza mambo ya ndege aliporudi hadi anakuwa mzee hakuwa na mke wala mtoto. Ila before that alikuwa kipanga hasa.

So ni vema tukaangalia hawa wanakwenda Russia hizo stress zinaletwa na nini. Isije ikawa mayai yameshachacha
 
Ndio ujue huu uzushi tu au matatizo ya kurithi ya hao waanga ukichanganya na elimu ngumu sana Russia hivyo wakienda hawa wasomi wetu waliokariri past paper lazima wadate.
 
Mungu anawabangua bongo zao hawa maana wanakana uwepo wake ilhali kuna evidence nyingi za kuthibitisha uwepo wa mungu.

God is the master of the people and universe.
Mkuu mbona warusi wenyewe hawapati hiyo laana na wameendelea sana kisayansi?
 
inashangaza sn.pia naishangaa s/kali ytu,kwa kua inapoteza pesa nyingi kuwasomesha watu wke
rkn mwosho wa cku hasara.aifanyi uchunguzi,aijiuri kwa nn hyu karudo yko so!ni ttzo kwakweli.roho inauma kupoteza maichinia,maprofesa nk.
In Tanzania, you are own your own.
 
Nina mzee wangu mdogo,kakaa urusi miaka 10. Sasa hivi ni mlevi wakupindukia ni yeye na viroba + gongo.
 
Na wewe umejidhihirisha kuwa ni wale wale tu.
"detal clinic" ndio nini?
 
Labda huwa wanapelekwa kusomea kazi maalumu, nasi kuwaona hivyo na kuamini tuwaonavyo ndo kufaulu kwao vizuri, kuna KGB kule. Urusi isingethubutu kuwachizisha watu ambao aliwahitaji kuwatumia kuimarisha nguvu zake haswa ktk ile vita baridi. Tz na Russia tuko vizuri kidiplomasia.
 
Mi nachojua ni baadhi ya waliosoma Russia ambao wamesharudi Tz wengi wao katika hao baadhi wanamatatizo ya uzazi yaana ugumba siyo me wala ke wote ngoma bilabila
 
Pombe ndizo zinzowachanganya tu maana wale jamaa unaweza jiuliza kwani hanywi maji chai kahawa soda wao ni vodka tu mwanzo mwisho kama ukiwaiga wao lazima uwe kichaa
 
Vry sorry .BT please i tell me what to do I wanna go there for masters in ict
No no no!!!!
You got me wrong!!
I advice you to go to Russia, its very nice place.
Just focus on your studies and come back home.
ICT is fine!!! 100% no doubt.
 
Nilibahatika kusoma Kitabu kimoja kinaitwa The Khrushchevitees kitabu hicho kiaelezea namna Russia na KGB yake ilivyohujumu mataifa menza kwenye USSR huwezi amini jamaa Wa Russia walikua na mission za kuvuruga akili za watu smart katika mataifa hayo.

Fact ni kwamba ukienda Urusi kama uko poa kichwani lazima urudi chizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…