Watanzania wanawakubali CHADEMA juu ya kutetea rasilimali zao kuliko CCM kwa kipindi hiki fukuto likizidi kufukuta

Kunajamaa mmoja katibu jumuia ya wazazi CCM. Nilikua nae jana sehemu, anasema mkataba anaaunga mkono. Kaongea weeeeee, baada ya yeye kumaliza kuongea faida anazodhani ndipo nikamuuliza kuwa mkataba kaosoma. Akajibu kuwa hajausoma, Nikaachana nae.
Hehee
 
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.

Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili.

Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili.

Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
Team JPM acheni kuwa vuguvugu.
 
Wananchi walio wengi wanazidi kuikimbia CHADEMA baada ya kugundua na kugundulika kuwa ni Chama cha wakatoliki waliojificha chini ya mwevuli wa chama cha siasa,kimesheheni udini na huonekana pale maslaha yao makuu yanapoguswa kama tulivyoona kwenye bandari ,kwa kweli walishindwa kujificha na kujizuia .

Wananchi kwa kweli hawawezi tena kubakia Chadema na zaidi waislamu na wale wakiristo wasio husiana na kanisa la chadema.
Kanisa la Chadema ni genge la wakiristo walioamua kufungua madhehebu yao kwa mlango wa vyama vya siasa ,unajua ni viongozi ndio wanaokula pale Chadema tena wanaupiga mwingi sana,fuatilieni tu maisha yao ndo mtajua kuwa mlikuwa hamjui kama hamjui.
 
🤓 Ben, Labda hiyo nchi iwe ya kusadikika.
Hofu ya CCM ni chadema kuungana na vyama vikubwa angalau vi5 tu.
Hapo CCM watatetemeka kwa hofu na baridi kali sana litawakumba kwakweli na jua litafifia.
Vinginevyo ni porojo na ndoto za kimweri kwa chadema au ACT au chama chochote pekeake kuishinda CCM Karne hii.
Tume ikiwa huru CDM wanabeba mkuu tuache utani, kuna sumu mbaya sn kuhusu CCM kwa sasa
 
Wananchi walio wengi wanazidi kuikimbia CHADEMA baada ya kugundua na kugundulika kuwa ni Chama cha wakatoliki waliojificha chini ya mwevuli wa chama cha siasa,kimesheheni udini na huonekana pale maslaha yao makuu yanapoguswa kama tulivyoona kwenye bandari ,kwa kweli walishindwa kujificha na kujizuia .

Wananchi kwa kweli hawawezi tena kubakia Chadema na zaidi waislamu na wale wakiristo wasio husiana na kanisa la chadema.
Kanisa la Chadema ni genge la wakiristo walioamua kufungua madhehebu yao kwa mlango wa vyama vya siasa ,unajua ni viongozi ndio wanaokula pale Chadema tena wanaupiga mwingi sana,fuatilieni tu maisha yao ndo mtajua kuwa mlikuwa hamjui kama hamjui.
Kwa hiyo RC/KKKT zimeanzishwa baada ya CHADEMA kuanzishwa? shame on you
 
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.

Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili.

Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili.

Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
Mimi niko upande wa CCM. Lakini kwa suala la bandari, nakubaliana na CHADEMA. CCM wangefanya vizuri kusema kwamba maadam kumejitokeza upinzani mkubwa kwenye suala la bandari, tulirudishe mezani kuliangalia upya kwa uwazi. Wazijibu hoja za upinzani kwa hoja na mambo yaendelee kufuatana na muafaka utakaofikiwa. Hivyo wangekuwa wamejilindia heshima yao.
 
Sio swala la nandari tu. Chadema wamekuwa watetezi kwa Taifa kwa mambo mengi ya uchumi na ustawi wa jamii. Ikiwemo migodi ya madini na gesi.
 
hawa hawapigagi kura!.

as long as hakuna hata milimita moja ya JMT inayouzwa, then hakuna ubaya wowote wala hakuna tatizo lolote
P
Kura hazina maana, wala kura sio zinazotoa viongozi hapa nchini. Hilo zoezi liko kukamilisha tu formalities, lakini viongozi huchaguliwa na kundi dogo la watu ndani ya CCM. Machafuko ama mapinduzi ya kijeshi ndio yataweza kuleta heshima ya kweli ya box la kura.

Ukiona mtu anaenda kupiga kura kwa mazingira haya eti anachagua kiongozi, ujue huyo ni mfaidika wa huo uhuni, ama hajitambui.
 
Ukikaa vijiweni, baa au kwenye maofisi ya umma, mjadala ni namna CHADEMA wanavyopambana kulinda rasilimali za Tanzania.

Utasikia watu wakisema nilikuwa naichukia CHADEMA ila kwa hili.

Nilikuwa namchukia Lissu ila kwa hili.

Mwisho kabisa wanakamilisha mjadala kwa kusema. Mama anatumiwa na ... Kuuza rasilimali za Nchi
CCM Wanakabidhi Rasiliminali zetu bure kwa waaarabu
 
Back
Top Bottom