Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Tulia utapona tu hiki kichaa chakoWewe ndiye ukatibiwe maana ulishafika hadi hatua ya kushindwa kutofautisha jinsia baada ya kuwa Bangi imekuzidi kichwani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tulia utapona tu hiki kichaa chakoWewe ndiye ukatibiwe maana ulishafika hadi hatua ya kushindwa kutofautisha jinsia baada ya kuwa Bangi imekuzidi kichwani
KabisaHana serikali- kasome katiba "seikali itapata madaraka yake kutoka kwa wananchi" sio kwa bashite
Kwa elimu yako ndogo na uwezo wako mdogo huna credibility ya kuniambia nijifunze kujibu hoja, I have been in platforms before your father seducer your mother! Jifunze kwanguJifunze kujibu hoja wewe.kwani ni wapi hoja ilikuwa inahusu habari za mshahara? Hoja ilikuwa wewe kusema hana madhara yoyote wala meno wala maamuzi kwa watumishi wa umma.bila kujua nafasi yake ndani ya chama nafasi ya chama au nguvu ya chama kwa serikali yake iliyopo madarakani.
Kwahiyo mmeamua kumpa mtu ambaye hapendwi na wengi badala ya anayependwa na wengi kama unavyosema mwenyewe?2025 Fomu ya Urais ndani ya CCM tumeshaamua na kuhitaji iwe moja tu kwa ajili ya Rais Samia ili kukamilisha kazi nzuri anayoendelea kuifanya kwa wakati huu ambayo imeleta na kuinua matumaini ya watanzania wanyonge.
Kuku aliyekatwa kichwa huwa hana uelekeoKwahiyo mmeamua kumpa mtu ambaye hapendwi na wengi badala ya anayependwa na wengi kama unavyosema mwenyewe?
Kazi ya chama ni kutoa maelekezo kaa serikali juu ya hatua za kuchukua kwa mtumishi wa umma ambaye ataonekana kufanya kazi chini ya kiwango au kwa mazoea. Ndio maana chama kilitoa maelekezo kwa serikali kupitia waziri wa TAMISEMI kumchukulia hatua mkurugenzi na kuunda timu ya kwenda kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali yaliyoonekana kulalamikiwa sana na wananchi.jambo ambalo lilitekelezwa haraka sana na serikali kupitia waziri wa TAMISEMI kwa kumsimamisha kazi haraka sana mkurugenzi.Punguza ujinga kidogo! Nimejibu swali lako vyema hawezi na hana instrument ya kumwajibisha public servant hata waziri mwenyewe hana hayo mamlaka kuna kitu inaitwa tume ya utumishi wa umma chini ya katibu mkuu utumishi aliye chini ya katibu mkuu kiongozi! Ndio wenye mamlaka kisheria kumwajibisha mtumishi! Alichokifanya bashite ni kupata political milage kwa wajinga kama wewe na wananchi wengi wasiojua kanuni za utumishi wa umma! Think big
Wewe punguani kabisa, unakera sana, ukishapewa buku tu unahara lolote tuu. Huyo Bashite ndo awe rais wenu? Unaweza hata kuolewa ukiahidiwa uteuzi mjinga sana wewe.Ndugu zangu Watanzania,
Uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya watanzania mitaani .ambao kwa sasa wana kiu ya kutaka kuona Paul Makonda anagombea urais na kuchaguliwa kwa kishindo kumpokea kijiti cha urais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hasssan mwaka 2030.
Sauti zinaendelea kupazwa na wananchi kupitia mitandao ya kijamii,vyombo vya habari, sauti za wananchi vilingeni na magengeni kuona kuwa siku moja Taifa hili linawekwa mikononi mwa Paul Makonda kama mkuu wa nchi, kiongozi wa serikali na Amiri jeshi mkuu wetu. Kutokana na kuona namna anavyo chapa kazi bila kuchoka wala kupumzika wala kupata hata muda wa kula chakula cha mchana.muda wote yupo kazini kuwasikiliza wananchi kwa unyenyekevu na upole wa hali ya juu sana na kuchukua hatua papo kwa papo kwa kuwaita watu wa serikali kutoa majibu.
Nami naunga mkono kuwa ili kazi nzuri anazofanya Mheshimiwa Rais ziwe na muendelezo mzuri na kuendelea kwa kasi hii hii, basi ni vema mwaka 2030 kumpa ushirikiano na kumuunga mkono Paul Makonda kushika nchi. Kwa hakika ndugu zangu nawaambieni ya kuwa kwa huyu Mwamba na jasiri kuwahi kutokea kusini mwa jangwa la sahara hakika nchi itakwenda mchaka mchaka katika maendeleo. Maendeleo yatakimbia kwa kasi na kukimbizwa kama mashindano ya mbio ndefu, watumishi wa umma watachapa kazi kama nyuki,cheo kitakuwa dhamana na wananchi watabaki mabosi huku kila mtu akifurahia kuzaliwa Tanzania kama ilivyo sasa chini ya uongozi wa Rais Wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia Suluhu Hasssan.
Jiulize kama leo ni Mwenezi wa chama anaitetemesha na kuiteka nchi kiasi hiki kwa uchapa kazi wake .vipi Tukimpa Urais ili aendeleze pale alipoishia mama yetu mpendwa na mchapa kazi aliyetukuka? Kwa sababu ni lazima Anapotoka mchapa kazi kama mama Samia tukakikishe Nchi inakwenda katika mikono ya mchapa kazi na jasiri aina ya Makonda ili kazi zisisimake na kusua sua..
Tanzania inamhitaji sana Mheshimiwa Paul Makonda 2030 kuliko wakati mwingine wowote ule. Ndio maana jana nilisema alindwe kwa nguvu zote na gharama zozote zile ili aje kutupatia matokeo makubwa na Chanya Watanzania. Tuendelee kumuombea afya njema tu.
Ni lazima Makonda aandaliwe na kuwekwa tayari kwa nafasi za juu maana amejaliwa kipawa na Kalama ya uongozi kutoka kwa Mwenyezi Mungu.nyote mnajionea namna kifua chake kilivyojaa ujasiri wa hali ya juu. Angalieni namna mchaka mchaka unavyopigwa huko kwenye ziara zake,angalieni namna watu nyuso zao zilivyo na tabasamu zimuonapo Paul Makonda ,angalieni namna watu wanalivyo na imani na matumaini na Mheshimiwa Makonda. Hapo hata mwaka mmoja tu hajamaliza ofisini.
vipi akipewa miaka kumi kama Rais wa nchi? Mnafikiri Tanzania hiii ya Rais wetu mpendwa Mama Samia itakuwa wapi? Ikumbukwe kwanza atakuta kazi kubwa imefanywa na Mheshimiwa Rais mama Samia,Ambapo atakuta umeme ni wa uhakika baada ya kuwa tayari bwawa la mwalimu Nyerere limeshakamilika.mnafikiri nani ataipita kiuchumi Tanzania Hii yenye rutuba nzuri ya kutosha na yenye kukubali kila aina ya mazao,yenye mlima mrefu barani Afrika,yenye mbuga za wanyama wa kila aina,yenye madini ya Tanzanite yanayopatikana Tanzania pekee, yenye madini ya kutosha karibu kila ukanda, yenye rasilimali watu ya kutosha,yenye mito,maziwa na bahari kwaajili ya kilimo cha umwagiliaji na hata usafiri wa majini.
Yenye bandari kila kanda,yenye faida ya kuzungukwa na nchi zaidi ya saba ambazo zinategemea kupitishia mizigo yao katika bandari yetu,yenye misitu mingi kwaajili ya kutengenezea vitu vya aina mbalimbali badala ya kuagiza nje na hivyo kupunguza hazina ya pesa za kigeni.mnafikiri Tanzania ya kijana jasiri na imara mwamba Paul Makonda itakuwaje?
Mnafikiri Tanzania ya Makonda yenye utajiri wa makaa ya mawe ya kutosha ,vivutio vya utalii ,Kimondo cha pili kwa ukubwa Duniani baada ya kile cha Marekani, hamuoni Tanzania hiyo itatiririsha maziwa na asali katika mabomba yake kwa kila kaya? Kumbuka kwa sasa anacho fanya Rais Samia anaweka mazinginra mazuri ya kiuchumi ambapo ni wakati huo wa Urais wa Makonda miradi ya kimkakati itakuwa imeanza kutoa na kuleta faida.
Tujiandae kumpa nchi Mheshimiwa Paul Makonda mwaka huo wa 2030 ili Dunia ikae chini na kuishangaa Tanzania ikipaa kama ndege vita kiuchumi, na kupokea wageni watakao kuwa wanapanga foleni na kupishana pale airport wakija kuitembelea Tanzania na kujifunza.
Paul Makonda chapa kazi sana kaka yangu.mama amekuamini na anaimani na matarajio makubwa sana kutoka kwako.chama tunakuamini sana na tuna matarajio makubwa sana kutoka kwako.chapa kazi na kila upitapo waambie wananchi na watanzania mambo makubwa aliyoyafanya mama yetu na Rais wetu Mama Samia.waeleze mabillioni aliyoyapeleka Katika maeneo yao.waambie kila mwezi mama yao na Rais wao anatoa zaidi ya Billion 33 ili watoto wao wasome bure.
Waambie Rais wao ametiririsha zaidi ya Trilioni sita katika Secta ya Afya pekee,waambie Rais wao ameongeza bajeti ya kilimo kufikia Billion mia tisa tisini ili wakulima wapate pembejeo kwa bei nzuri,waambie mama yao ameagiza zaidi ya tani laki moja za sukari kuja kuingiza sokoni, waambie mama yao anawapa mikopo wanafunzi wote wa elimu ya juu wenye sifa bila ubaguzi. Waambie mama yao ametoa maelfu ya ajira kwa vijana na muda siyo mrefu anakwenda kumwaga mitaani zaidi ya elfu ishirini na tatu katika Secta ya Elimu na afya.
Waambie watumishi wa umma wachape kazi maana mama yao yupo pamoja nao na ataendelea kuwaongeza misharaha na kuwalipa madai yao, lakini nao wahakikishe kuwa wanachapa kazi kwa bidii na uadilifu wa hali ya juu na wasifanye kazi kwa mazoea. Waambie mama amefanya mengi ambayo huwezi kumaliza kuyataja.
Kazi iendelee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627.
Tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030 halafu baada ya hapo ndipo inatakiwa iangaliwe kwa umakini sana kiu ya watanzania ya kumhitaji Mheshimiwa MakondaKwahiyo mmeamua kumpa mtu ambaye hapendwi na wengi badala ya anayependwa na wengi kama unavyosema mwenyewe?
Shusha pumzi .mimi sitafuti uteuzi hapa jukwaani ndugu yangu na wala sifanyi kwa malipo.Wewe punguani kabisa, unakera sana, ukishapewa buku tu unahara lolote tuu. Huyo Bashite ndo awe rais wenu? Unaweza hata kuolewa ukiahidiwa uteuzi mjinga sana wewe.
Atakuongoza wew na mumeo acha dharau dogo kisa kushikwa shikwa na vibuku buku apo lumumbaPaul Makonda ndiye Rais ajaye baada ya Rais Samia kumaliza muhula wa pili 2030
Atakuwa alimaliza "kiaina...Hivi pale MUCOBS alikua na wadhifa upi? Chuo alimqliza?
Acha ujinga dogo .uwe na heshima kwa kaka zako.Atakuongoza wew na mumeo acha dharau dogo kisa kushikwa shikwa na vibuku buku apo lumumba
Swali kwako! Kwahiyo chama ndio kimehodhi na kukaa na hizo taratibu na kanuni za kuchukua juu ya mtumishi ndiposa kielekeze serikali ni hatua gani za kuchukua? Nataka kujua mwenye kujua hatua ni chama au serikali?Kazi ya chama ni kutoa maelekezo kaa serikali juu ya hatua za kuchukua kwa mtumishi wa umma ambaye ataonekana kufanya kazi chini ya kiwango au kwa mazoea. Ndio maana chama kilitoa maelekezo kwa serikali kupitia waziri wa TAMISEMI kumchukulia hatua mkurugenzi na kuunda timu ya kwenda kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali yaliyoonekana kulalamikiwa sana na wananchi.jambo ambalo lilitekelezwa haraka sana na serikali kupitia waziri wa TAMISEMI kwa kumsimamisha kazi haraka sana mkurugenzi.
Nitauliza jamaa zangu wa MUCOBS watanijibuAtakuwa alimaliza "kiaina...
Hivi umewahi kufika Lumumba kweli?Acha ujinga dogo .uwe na heshima kwa kaka zako.
Mheshimiwa makonda anazungumza kwa niaba ya chama.ndio maana alipokuwa anakuelekeza kero na changamoto walizozibaini chama pale Pangani alisema na kumpa maelekezo ya chama na hatua ambazo zinapaswa kuchukuliwa ,ikiwa ni pamoja na kumsimamisha kazi mkurugenzi pamoja na kuunda timu ya kwenda kufanya uchunguzi wa kina.Swali kwako! Kwahiyo chama ndio kimehodhi na kukaa na hizo taratibu na kanuni za kuchukua juu ya mtumishi ndiposa kielekeze serikali ni hatua gani za kuchukua? Nataka kujua mwenye kujua hatua ni chama au serikali?
Meanwhile kwa mujibu wa maelezo yako- Bashite is the best to be a president. Sasa hapa ni chama kilitoa maelekezo na kuchukua haatua au ni bashite personally kwa utashi wake? Tatizo akili umeweka kwa matako ya mtu badala ya kutengeneza mifumo imara ambayo kwayo kila mtu anawajibika promptly bila kumsubiri mtu! Angesema CS Nchimbi au Chairlady Samia au DC Kinana yasingetekelezwa? Acha kushindana na mama keegan
Acha kuongea vitu usivyo na ushahidi navyo wewe
Kwa sasa Dunia ni kama kijiji na ipo kiganjani pako. Ndio maana kwa sasa huna hata sababu ya kuangalia taarifa ya habari saa mbili usiku maan matukio yote na habari zote unakuwa nazo kiganjani pako. Wala huna sababu ya kwenda kununua magazeti stendi maana unaweza soma na kulipata gazeti ukiwa popote pale.Wewe ushahidi wako wa mamilion ya Watanzania wanaomtaka makonda awe Rais uko wapi ....!!?
Wewe kiu ulishaiona! Kasikilize ule wimbo "sisemu ina wenyewe" halafu ukumbuke ile kauli ya DR jk "ccm hawaachiani maji mezani" halafu maliza na hii jk alilaumiwa kuja na majina mfukoni. Halafu kajifunze mchakato wa kumpata Mgombea ndani ya ccm ukoje halafu ukimaliza uje na hii rule number one "never outshine your master" rule number two "don't forget rule number one" fuatilia miiko ya chama "hakuna ruhusa ya mtu au kikundi ndani ya chama kuanza kampeni ya kumpata mgombea kabla cc haijapuliza kipenga " we unawaza 2030 wakati hujui kama utakua hai au la.Tunakwenda na Rais Samia mpaka 2030 halafu baada ya hapo ndipo inatakiwa iangaliwe kwa umakini sana kiu ya watanzania ya kumhitaji Mheshimiwa Makonda
Akileta nahama mkoa na Aseme hiyo portal aloyotumia kucast votes iko wapi.Wewe ushahidi wako wa mamilion ya Watanzania wanaomtaka makonda awe Rais uko wapi ....!!?