Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kwahiyo wewe umetumia simu na magazeti?
Haya tuambie gazeti gani lilikusanya kura ya maoni tutakubali bila shaka yoyote na sisi tulisome! We need facts not black blaa
 
Nauli ya kuhama mkoa unayo?
Haikua haja ya ww kuniuliza nauli- siwezi kunuia jambo bila kujitathmini capabilities zangu na weaknesses zangu! Ilifaa uje na hizo statistics na source kwa maana ya portals na platforms ili uone nitahama sababu sitaki au sababu umejibu au sababu ya nauli . Fanya hivyo Luka
 
Nilijiuliza Sana, iliwezekanaje Adolf Hitler, akapata nafasi ya kuungwa mkono na watu wengi, akawa,na wafuasi wengi waliokuwa tayari kufanya lolote kwa niaba yake,kuna watu walikuwa tayari kubusu ardhi aliyokanyaga, nikapata novel ya Historia ya Secret police Gestapo, sasa nimeanza kukuelewa bro! Kwa, uchawa huu, CCM wasipo kupa chochote, watakuwa, hawakutendei haki!
 
Makonda is a problem

CCM were in for the crazy ride man.

Good,Makonda endelea kuharibu the whole thing,safi kwetu opposition!
 
Makonda chapa kazi mimi ni mmoja wa shabiki yako sana tangu ukiwa mkuu wa wa Dar.Nina nguvu za kutosha nina akili nina jua kutumia kila kifaa.Sasa we piga kazi siku moja uwe mkuu wa nchi.Maana katika CCM sija ona kiongozi mwenye ujasiri kama wako.Piga kazi wewe ndo raisi wetu 2030.Hatuna shaka na watu wakutoka Mwanza.
 
Umeshalipwa buku 10 yako pale Lumumba unakuja kuandika pumba
Silipwi kwaajili ya kuja kuandika hapa jukwaani.mimi nawasilisha sauti za wananchi kutoka mitaani juu ya kiu yao ya kuhitaji utumishi wa Mheshimiwa Makonda 2030 kama Rais wa Nchi
 
Makonda is a problem

CCM were in for the crazy ride man.

Good,Makonda endelea kuharibu the whole thing,safi kwetu opposition!
Makonda ameshausambaratisha upinzani .Upinzani unamuogopa Makonda ni hakuna mfano. Maana unajuwa uwezo mkubwa alio nao kiuongozi.
 

Jibu la kijinga kabisa.......!!
 
Rubbish
 
Binafsi tabia ya kuniita ndugu yako pasipo ridhaaa ya undugu mimi sitaki kwakweli
 
Makonda ameshausambaratisha upinzani .Upinzani unamuogopa Makonda ni hakuna mfano. Maana unajuwa uwezo mkubwa alio nao kiuongozi.
Nani kakudanganya?

You niggas are so delusional aisee

Hebu come back to reality,stop dreaming

Mngekua mmeshausambaratisha usingeleta huu uzi to begin with

Upinzani upo ndio maana upo hapa kusukuma uzi za namna hii,otherwise ungekua umekaa na popcorn zako unacheck movie maana hakuna tena upinzani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…