Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
-
- #321
Paul Makonda ni Kiongozi mcha Mungu .ndio maana amejaa huruma katika kifua chake na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.ndio sababu anawatetea sana popote apitapo na kutembelea. Anajuwa uchungu walio nao watu wa chini na aina ya maisha wanayoishi ndio sababu ameamua kuwa nao karibu sana kwa kuwasikiliza kwa unyenyekevu mkubwa sana bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
Paul Makonda ni Kiongozi mcha Mungu .ndio maana amejaa huruma katika kifua chake na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.ndio sababu anawatetea sana popote apitapo na kutembelea. Anajuwa uchungu walio nao watu wa chini na aina ya maisha wanayoishi ndio sababu ameamua kuwa nao karibu sana kwa kuwasikiliza kwa unyenyekevu mkubwa sana bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
Sawa mhamiaji haramu mwenzangu,acha tujifiche kwenye ukada na uchawa,tusifuatwe fuatwe 😀😀Bila shaka wewe itakuwa ni mhamiaji haramu
Mimi siyo mhamiaji haramu kama wewe.Sawa mhamiaji haramu mwenzangu,acha tujifiche kwenye ukada na uchawa,tusifuatwe fuatwe 😀😀
Unaelewa maana ya mnyonge?asante mkuu. Mnyonge ni yeye na nyumba yake.
Nendeni mkaandamane wenyewe.Karibu sana kwenye maandamano siku ya kesho, usikose kuja ukiwa umevaa nguo zako za kijani
Makonda kasema mbinguni wamemchukulia fomu, huenda akaenda mapema kugombea urais huko.Namuunga mkono 2026 ikipendeza 2027 huwa hatumalizi awamu ujue
Gas tulimkombolea mh Guangzhou.Tena huyo ndio bure kabisa. Muulize kwanini asitumie umeme wa gas ambao chama chake kilisema bomba la gas likifika tu hapa Dar mgao utakuwa ni historia? Hapo ndio utajua uko kwenye chama Cha wajinga wenye uongo wa kitoto.
Mwasha mbwa.Tatizo lako jingine ni jina ulilonalo.
Acha ujinga wako wa kitoto.Mwasha mbwa.
Kualika majirani kwenye sherehe huwa siyo vibaya, ni kudumisha ujirani mwemaNendeni mkaandamane wenyewe.
Siyo bado haumfai, ni kwamba Makonda hawezi na hafai kabisa kuwa rais.Paul Makonda abaki kwenye chama uongozi kama huo bado haumfai
Jiandae kumuona Mheshimiwa Makonda akila kiapo cha Urais wa nchi yetu huku mamilioni ya wananchi wakibubujikwa machozi ya furaha.Siyo bado haumfai, ni kwamba Makonda hawezi na hafai kabisa kuwa rais.
Bro Acha tukuchane ukweli, hata huyu bashite unaempigia promo hapa hata yeye anakushangaa! Punguza mihemko fanya kazi kipato kitakuja tu, watoto wako hawawezi kurithi uchawa wako. Siku tukiamka JF haipo na wewe automatically hautakuwepo! Usijichomoe akili kiivyo, nakukumbusha tu alikuwepo Musiba enzi za jiwe, jiulize kwa sasa yuko wapi? Ana maisha gani? Ana amani? Tatizo lako wewe ni zao la mimba za mkesha wa mwenge hivyo huwezi elewa nilichokueleza. Unakera sana man! Tafuta comments kwenye nyuzi zako kwa kujichomoa akili ila nakutaarifu ipo siku utalia kilio cha mbwa kokoJiandae kumuona Mheshimiwa Makonda akila kiapo cha Urais wa nchi yetu huku mamilioni ya wananchi wakibubujikwa machozi ya furaha.
Makonda ni mkimbizi. Jeshi lishatoa tamko.Jiandae kumuona Mheshimiwa Makonda akila kiapo cha Urais wa nchi yetu huku mamilioni ya wananchi wakibubujikwa machozi ya furaha.
Huu ni uchawa wa kiwango cha chini kabisa,yaani ni upmbavu kabisaUmeandika takataka