Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Paul Makonda ni Kiongozi mcha Mungu .ndio maana amejaa huruma katika kifua chake na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.ndio sababu anawatetea sana popote apitapo na kutembelea. Anajuwa uchungu walio nao watu wa chini na aina ya maisha wanayoishi ndio sababu ameamua kuwa nao karibu sana kwa kuwasikiliza kwa unyenyekevu mkubwa sana bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
 
Tena huyo ndio bure kabisa. Muulize kwanini asitumie umeme wa gas ambao chama chake kilisema bomba la gas likifika tu hapa Dar mgao utakuwa ni historia? Hapo ndio utajua uko kwenye chama Cha wajinga wenye uongo wa kitoto.
Gas tulimkombolea mh Guangzhou.
 
Siyo bado haumfai, ni kwamba Makonda hawezi na hafai kabisa kuwa rais.
Jiandae kumuona Mheshimiwa Makonda akila kiapo cha Urais wa nchi yetu huku mamilioni ya wananchi wakibubujikwa machozi ya furaha.
 
Jiandae kumuona Mheshimiwa Makonda akila kiapo cha Urais wa nchi yetu huku mamilioni ya wananchi wakibubujikwa machozi ya furaha.
Bro Acha tukuchane ukweli, hata huyu bashite unaempigia promo hapa hata yeye anakushangaa! Punguza mihemko fanya kazi kipato kitakuja tu, watoto wako hawawezi kurithi uchawa wako. Siku tukiamka JF haipo na wewe automatically hautakuwepo! Usijichomoe akili kiivyo, nakukumbusha tu alikuwepo Musiba enzi za jiwe, jiulize kwa sasa yuko wapi? Ana maisha gani? Ana amani? Tatizo lako wewe ni zao la mimba za mkesha wa mwenge hivyo huwezi elewa nilichokueleza. Unakera sana man! Tafuta comments kwenye nyuzi zako kwa kujichomoa akili ila nakutaarifu ipo siku utalia kilio cha mbwa koko
 
Back
Top Bottom