Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #321
Paul Makonda ni Kiongozi mcha Mungu .ndio maana amejaa huruma katika kifua chake na upendo mkubwa sana kwa watanzania wanyonge.ndio sababu anawatetea sana popote apitapo na kutembelea. Anajuwa uchungu walio nao watu wa chini na aina ya maisha wanayoishi ndio sababu ameamua kuwa nao karibu sana kwa kuwasikiliza kwa unyenyekevu mkubwa sana bila ubaguzi wa aina yoyote ile.