Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kada kamanda comrade naona umehamisha goal sasa ama tuseme mashambulizi yako sasa kutokea kwenye wingers
Makonda anapaswa kukabidhiwa Taifa letu katika mikono yake. Kwa hakika Taifa litakuwa katika mikono salama kabisa.Taifa litakuwa katika himaya ya mchapa kazi
 
Mnyonge mwenyewe
Watanzania wanahitaji mtetezi wao.kama alivyo mama Samia .Na sasa wanataka Rais samia anapomaliza muhula wake wa pili aliache Taifa mikononi mwa mchapa kazi na mwenye kuwajali wanyonge ambaye ni Mheshimiwa Makonda
 
Back
Top Bottom