Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ndugu yangu mdogo wangu kada mwenzangu.

CCM imejaa wanyama kuliko.magaidi, wanakutenda kisha wanakuandalia msiba wa kitaifa.

Kikubwa uwe unachagua cha kuandika, punguza utoto kwenye siasa
Tangia lini na wewe umekuwa CCM na mwana CCM Ndugu yangu msanii
 
Leo ntakuita mpuuzi
Wala usijali maana una haki hiyo kidemokrasia maana ndio ukomavu wenyewe kutofautiana kimtazamo. Mimi nimewasilisha kiu ya watanzania na sauti zao kutoka mitaani.kwa hiyo unaposema hayo maana yake unasema mamilioni ya watanzania Ni wapuuzi jambo ambalo siyo la kweli hata kidogo
 
Ni kweli maana amemaliza mgao wa umeme, na kushusha bei ya vitu. Bado mnatumia mbinu za kizamani miaka hii?!
Mgao wa umeme unakwenda kuisha muda siyo mrefu na kubaki katika Historia ndugu yangu
 
Agombee Urais 2025 .
Kusema agombee 2030 ni mbali sana tutakuwa tumepigwa sana
2025 tunakwenda na mzalendo wetu Mama Samia Suluhu Hasssan .ambapo Fomu ni moja tu ndani ya CCM kwa ajili yake .halafu 2030 tunampa Mheshimiwa makonda kijana mzalendo,jasiri na mchapa kazi Mheshimiwa Makonda
 
Hayo maigizo ya huyo muhalifu Makonda kuwa ni wananchi wanasema, hata dhalimu Magufuli alitumia sana propaganda hiyo, cha ajabu ilipofika wakati wa uchaguzi akaishia kupora mchakato wa uchaguzi!
 
Hayo maigizo ya huyo muhalifu Makonda kuwa ni wananchi wanasema, hata dhalimu Magufuli alitumia sana propaganda hiyo, cha ajabu ilipofika wakati wa uchaguzi akaishia kupora mchakato wa uchaguzi!
Wewe unaanzia wapi kusema ni maigizo wakati unaona namna anavyotatua kero za wananchi?
 
Hivi unajua maana ya mnyonge lucas?
 
Hivi huwa hauna mambo ya kufanya. Hivi hauna familia, tusiwe tunakulaumu kumbe tunaongea na mtoto anaeishi kwa wazazi wake. Kwa mfano, Makonda mwenyewe akikuuliza km kakutuma utajibu nini. Au vipi hao watu wamekutuma? Ndo
Maana mnachukiwa wa watu wenye akili timamu, tabia za kutanguliza mbele njaa sio sawa kabisa, utawaambukiza ujinga watoto wako huko mbeleni. Badilika bwana.
 
Agombee Urais 2025 .
Kusema agombee 2030 ni mbali sana tutakuwa tumepigwa sana
Subiri uwone CCM wanavyo tuchezesha,na hili linawezekani likawa,dalili naziona,na Waziri wake.Mkuu atakua Biteko! Game ya CCM mbona iko wazi toka mwanzo kama unawafatilia!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…