Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

Hivi mnalipwa bei gn? Hii nchi imelaaniwa
 
Acha ndoto amka ulipo lala maana bado mapema Sana ,Rais Samia hana wa kushindana Naye na yeyote atakaye chukua fomu kushindana Naye lazima avune aibu ya karne
Issue Si wa kushindana naye,

What if akisusa, mtamlazimisha?

Au umewasahau hao watu??😃😃😃😃
 
Mkuu unahurka ya kike unaandikaje mavitu kinyume na katiba.nshakukumbuka ukidisco mwaka wa pili n'a unatafutaga ukuu wa wilaya ila wahuni tumekukazia huwiiiiii
Acha uongo wako wewe Nani kakwambia natafuta uteuzi hapa,pili Nani kakwambia uongozi au ukuu wa wilaya unatafutwa Kama Nguo Dukani, Tatu sijuwi unaandika uongo kwa faida au lengo gani la kusema nili disco chuo,bila Shaka hunifahamu Bali umeamua tu kujifurahisha ili na wewe uonekane
 
Sikufahamu wapi we dogo unatafutaga ukuu wa wilaya kwa kubadili upepo .hivi kwa nn ulikuwa unamsema vibaya mama samia sana kipindi cha magu ??
 
Issue Si wa kushindana naye,

What if akisusa, mtamlazimisha?

Au umewasahau hao watu??😃😃😃😃
Nashukuru kuwa maandishi yako yanaonyesha na kukubaliana na ukweli na mtizamo wa mamilioni ya watanzania wanasema kuwa Rais Samia ndiye mtu pekee wa kutuongoza na anayestahili kupewa nafasi ya uongozi mpaka 2030 , kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi
 
Sikufahamu wapi we dogo unatafutaga ukuu wa wilaya kwa kubadili upepo .hivi kwa nn ulikuwa unamsema vibaya mama samia sana kipindi cha magu ??
Naona akili yako haipo sawa na najibizana na mtu asiyejitamhua ,Nakusamehe bure tu maana watu Aina yako nimekutana nao Sana na ninafahamu namna ya kujibizana nao na kutoingia katika mitego Yao,kwa asiye na akili anaweza kupaniki Sana kwa mitego yako lakini kwa mwenye Akili kubwa Kama yangu hakupi nafasi ya kupata utakacho
 
Nashukuru kuwa maandishi yako yanaonyesha na kukubaliana na ukweli na mtizamo wa mamilioni ya watanzania wanasema kuwa Rais Samia ndiye mtu pekee wa kutuongoza na anayestahili kupewa nafasi ya uongozi mpaka 2030 , kutokana na kuonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi
Mgombea dhaifu ndio Huwa anaogopa competition,

Hii ni Nchi ya DEMOKRASIA ya vyama vingi,

Fanya utafiti kidogo, panda daladala halafu msifie mtu wako hata Kwa Bahati mbaya uone reaction.
 
Mgombea dhaifu ndio Huwa anaogopa competition,

Hii ni Nchi ya DEMOKRASIA ya vyama vingi,

Fanya utafiti kidogo, panda daladala halafu msifie mtu wako hata Kwa Bahati mbaya uone reaction.
Nenda ukalete mgombea wako uone utakavyopotea Naye kwa aibu,hakuna utakakokwenda usione na kukuta Rais Samia akipongezwa na kusifiwa kwa uchapa kazi wake uliotukuka,Ni Samia kila sehemu Ni mama kila mahali Ni sauti za shangwe na Tabasamu juu ya Rais Samia
 
Naona akili yako haipo sawa na najibizana na mtu asiyejitamhua ,Nakusamehe bure tu maana watu Aina yako nimekutana nao Sana na ninafahamu namna ya kujibizana nao na kutoingia katika mitego Yao,kwa asiye na akili anaweza kupaniki Sana kwa mitego yako lakini kwa mwenye Akili kubwa Kama yangu hakupi nafasi ya kupata utakacho
Hebu kataa hapa hukuwa ukisema mama hatoshi urais .Wewe hukuwa ukisifia ukatiri wa mzoga ??
 
Ndugu zangu watanzania,

sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.

watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.

Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?

Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?

Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?

watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.

Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Kiuwekweli mtaani kwangu hakuna anaemtaka hata mmoja sio mtaani kwani tu hata mkoa nakotoka hakuna anaetamani kumuona tena kwenye hicho kiti
 
Kiuwekweli mtaani kwangu hakuna anaemtaka hata mmoja sio mtaani kwani tu hata mkoa nakotoka hakuna anaetamani kumuona tena kwenye hicho kiti
Mkoa upo huo unaotoka ili nikuonyeshe uongo wako hapa
 
Itakuwa peke yako lakini mamilioni ya watanzania wanamhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza
Kumbe ni hivyo kwamba mamilioni ya watanzania? Basi badilisha title ya thread yako kwani haihusiani na ulichojadili ndani
 
Kwani bado kumbe hawajakupaga uteuzi tu?. Matokeo yake utakuja ujinyonge tu
 
Back
Top Bottom