Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

Ndio ninao uhakika kwa kuwa ninayoyaandika Ni sauti za watanzania
Embu acha uongo na uzandiki wewe.
Mitaani watu wanatamani Magufuli afufuke kuliko Samia kuwa madarakani.
Nimeenda Morogoro huko vijijini Kuna ushuru mpaka wa pilipili kiasi wananchi wanaona hata tabu kwenda mjini na mazao.
NI WATANZANIA GANI UNAWASEMEA WEWE??
 
Kuna kura yo yote ya maoni iliyofanywa kuthibitisha kuwa kilio cha watanzania wanaomlilia Mama aongoze tena?
Au ni hofu ya Sukuma Gang?
 
Maoni ya mamillioni ya watanzania mitaani yanamhitaji Sana Rais samia
 
Embu acha uongo na uzandiki wewe.
Mitaani watu wanatamani Magufuli afufuke kuliko Samia kuwa madarakani.
Nimeenda Morogoro huko vijijini Kuna ushuru mpaka wa pilipili kiasi wananchi wanaona hata tabu kwenda mjini na mazao.
NI WATANZANIA GANI UNAWASEMEA WEWE??
Watanzania wazalendo na wenye mapenzi mema na Taifa hili wanaendelea kuomba na kufunga ili mwenyezi Mungu amjalie Afya njema Rais wetu ya kuweza kututumikia watanzania muhula wa pili
 
Ujuha kitu kibaya sana.
Poole.
 
Ndugu zangu watanzania,

sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.

watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.

Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?

Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?

Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?

watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.

Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Huna tofauti na Baba Levo
 
Yule alikuwa na Sukuma gang sasa sijui hii tuiteje?. Mmeanza tayari.
 
Lakini mimi sijasema mkuu
 
Back
Top Bottom