MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 21,387
- 44,030
Mama Samia anaupiga mwingi. Mbowe na chama chake wameanza kumpigia Mama Samia kampeni kabla ya muda. Kwenye mkutano wa BAWACHA mama atavuna wanachama wapya wa CCM. Shukrani kwa Mbowe.
Rais Samia ndiye kiongozi Bora kwa Sasa katika Bara la Afrika na ambaye anachukuliwa Kama sauti na mtetezi wa Afrika na waafrikaNdugu huwezi ambilika sababu ushajiweka kiziwi n kipofu juu ya uyo Samia but huo ndio ukweli na njia anazotumia zishatumika sana huko ktk mataifa mengine hivyo hana jipya zaidi ya ushamba tu...
Ukiwa unaandika mambo kama haya uwe unaweka na vithibitisho ila sio kuongopa as if sie ni watoto tusio jielewa🤌🏾Rais Samia ndiye kiongozi Bora kwa Sasa katika Bara la Afrika na ambaye anachukuliwa Kama sauti na mtetezi wa Afrika na waafrika
Usiwasemee WaTanzania!Ndugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Address my comment,sio kubwata tu.Itatuchukua miaka mingi Sana kumpata Rais Samia mwingine mwenye moyo wa upendo uzalendo na dhamira ya dhati kwa Taifa letu
Fuatilia habari za Galileo ndio utajuwa watu wakweli hupingwa na wenye akili ya kuona karibu na kutoelewa mambo kwa uharaka,Najuwa wanaopinga ukweli huu muda siyo mrefu mtakubali kuwa kiu ya watanzania Ni mama Samia Kuendelea kuwaongoza kwa muhula wa piliNafikiri labda wewe ndio umeongoza kwa kupata dislikes kwenye forum kwa post yako namba moja ya uzi wako
Hayo ni mawazo yaketu asilaumiwe maana...... au basimimi sipingani na hoja yako ila naomba uweke reference ya reseach uliyofanya na methodogy uliyotumia hadi ukajiridhisha kuwa unaweza kuisemea Nchi (Watanzania)
Unajua unaongelea mada ya kubadilisha katiba ambayo sio rahisi kiivyo
Alisikika mtu mmoja akiwa amelala anaota ndoto za mchana tena kwasautiNdugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Ila umeme na maji bado ni keroMakundi yote kuanzia wakulima ambao wanatabasamu baaada y kupewa mbolea za Ruzuku,vijana wa vyuo vikuu baada ya kuongezewa fedha ya kujikimu na kupewa mikopo ya Elimu ya juu kwa wanafunzi wote wenye sifa, wafanyabiashara hasa baada ya kuboreshwa mazingira ya biashara,N,k,kila kundi linamkubali Rais Samia,kwa ufupi Ni kuwa Rais Samia ameyateka makundi yote na kupata uungwaji mkono
Kwa Sasa Hali ya Umeme na maji Ni nzuri na imerejea katika Hali take ya kawaida,ilikuwa Ni changamoto wakati tulipokubwa na ukame hapa nchini lililokuwa kumetokana na kuchelewa kwa mvua katika maeneo mengi hapa nchini,ambapo hata hivyo serikali yetu chini ya uongozi shupavu wa mama Samia ilichukua hatua mbalimbali kutatua changamoto hizo ikiwepo uchimbaji wa visima virefu vya maji pamoja na kutumia vyanzo mbadala vyaa kuzalishia umeme Kama vile gas ili kupunguza makali ya mgao wa umemeIla umeme na maji bado ni kero
Sasa matumizi ya maji ya binadam yanahusianaje na mvua kunyesha?Kwa Sasa Hali ya Umeme na maji Ni nzuri na imerejea katika Hali take ya kawaida,ilikuwa Ni changamoto wakati tulipokubwa na ukame hapa nchini lililokuwa kumetokana na kuchelewa kwa mvua katika maeneo mengi hapa nchini,ambapo hata hivyo serikali yetu chini ya uongozi shupavu wa mama Samia ilichukua hatua mbalimbali kutatua changamoto hizo ikiwepo uchimbaji wa visima virefu vya maji pamoja na kutumia vyanzo mbadala vyaa kuzalishia umeme Kama vile gas ili kupunguza makali ya mgao wa umeme
Ni sawa, lakini tumejiwekea utaratibu ambao ni lazima tuufuate. Miaka 5 halafu tunampigia kura miaka 10 anaagwa kwa heshima. Dunia ni mapishano that is the rule of the jungle. Tangu enzi za adam tumekuwa yunapishana, tunspokezana na uzuri kifo kimewekwa ilo kulazimisha mpishano na kanuni na sheria zimewekwa ili tupishane kwa amani. Hila na mabavu ni adui wa huu utaratibu.Ndugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Sauti za watanzani zipo kimakundi, ziko kimtego sana. Haziko stable haziko reliable, lakini Samia ana moyo mkuu hilo jina Suluhu linareflect matendo yake. Biblia inasema heri ya wapatanishi maana wataurithi ufalme wa mbingu....Naongea ukweli wa sauti za watanzania kutoka mitaani
Watanzania wa wapi. Watu huku vijijini wanalalamika na half mbaya ya maishaNdio ninao uhakika kwa kuwa ninayoyaandika Ni sauti za watanzania
Watanzania wa vijijini ambao wengi wao Ni wakulima wanamshukuru Sana Rais Samia na serikali yake kwa hatua yake ya kuwapa mbolea ya Ruzuku iliyoleta Tabasamu na matumaini katika mioyo YaoWatanzania wa wapi. Watu huku vijijini wanalalamika na half mbaya ya maisha