EL_CHAPO_UNO
JF-Expert Member
- Apr 14, 2022
- 273
- 521
Maoni halisi ya watanzania ni hizo comments zote hesabu ujue mbivu na mbicji acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi Bali Ni andiko linalohusu maoni ya watanzania namna wanavyomkubali Rais Samia na kutoona sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Urais,kwa kuwa Rais Samia Anatosha
Mawazo ya Watanzania mitaani na wanaojishughulisha katika shughuli mbalimbali za kiuchumi wanamhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza kwa kuwa ameleta nuru kwaoMaoni halisi ya watanzania ni hizo comments zote hesabu ujue mbivu na mbicji acha kujitekenya na kucheka mwenyewe.
Kazi zilizofanywa na serikali ya CCM zinajitangaza zenyewe kwa watanzania ndio sababu ya Kuendelea kuungwa mkono na watanzaniaHuo mpango ovu toka Charm wino..... Then endeleeni kumjazia Mahela Kengeza.
Humwogopi hata Mungu mkuu?Ondoka hapo kwako uje uone uhalisia wa mambo mitaani wa namna Rais wetu anavyokubalika na kupendwa na mamillion ya watanzania
Rais Samia anapendwa na kukubalika na Watanzania wote na hakuna mwenye chuki Wala hasira na Rais wetuUshauri wa bure: mnavyotumi nguvu kubwa kuongea hoja zisizo mashiko mnazidisha hasira...
Juhusi zipi amezifanya?Wakati wa mdororo wa uchumi wa Dunia uliotokana na Corona pamoja na Vita vya ukrein uliyopelekea mfumuko wa Bei Duniani kwote,Rais Samia alifanya juhudi za makusudi katika wakati huo mgumu ulioitetemesha Dunia
ππππππππNjoo mitaani uone namna watanzania wanavyosema juu ya Rais Samia
Unataka nipasue jipu.Kazi zilizofanywa na serikali ya CCM zinajitangaza zenyewe kwa watanzania ndio sababu ya Kuendelea kuungwa mkono na watanzania
hee corona uchumi wetu ulishuka ebu leta takwim.za uchumiWakati wa mdororo wa uchumi wa Dunia uliotokana na Corona pamoja na Vita vya ukrein uliyopelekea mfumuko wa Bei Duniani kwote,Rais Samia alifanya juhudi za makusudi katika wakati huo mgumu ulioitetemesha Dunia
mfumuko wa bei alileta Samia hujui sio si alizungumza kwakinywa chake kuwa bei zitapanda kwan sis tunanufaika veep na ukraineWakati wa mdororo wa uchumi wa Dunia uliotokana na Corona pamoja na Vita vya ukrein...
Mfumuko wa Bei haukusababishwa na Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania mama Samia suluhu Hassani Bali ulitokana na corona pamoja na Vita ya ukrein.mfumuko.wabei alileta samia hujui sio si alizungumza kwakinywa chake kuwa bei zitapanda kwan sis tunanufaika veep na ukraine
Mimi sijipendekezi Bali naongea ukweliAcha kujipendekeza
Ova
πππlukas kakojoe ulale pleez ujawana.hoja ya msingi sijakutukan