Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #81
Mnatakiwa muende nyie mnaosshinda humu mkitukana matusiWahi mirembe tayari umeshawehuka

Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa Ni makundi yote yanaridhishwa na utendaji kazi na uchapa kazi wa Rais Samia na kuhitaji Rais Samia abakie ikulu kwa ajili ya kuwatumikiaBila ya kufanya utafiti shirikishi wa kina, tena kwa kutumia sampuli kubwa yenye kuwakilisha makundi yote muhimu ya Watanzania wote wapatao milioni 61 huwezi kukimbilia kutoa hoja ambayo umeileta hapa jukwaani.
Lucas kukimbilia kuleta mada nyingi kama hizi za kichawa hapa jukwaani, na pia kutokana na mapungufu makubwa ya kimantiki, kimaudhui na kimuktadha ndani yake, hii ndiyo sababu Ndg. Chongolo anawaasa vijana mliomaliza vyuo vikuu mjipange tena ili muende VETA kwa ajili mafunzo ya stadi za ufundi. Hii inaonyesha haridhisjwi kabisa na "analytical skills" za vijana kama wewe.
Katiba inaruhusu Rais Samia kutuongoza Hadi 2030 na ndio maana Watanzania wanaendesha kampeni mitaani ya kutaka mama aendelee kuungwa mkono ili asalie ikulu kutuongoza na kututumikia watanzania maana ameonyesha dhamira ya dhati katika kuijenga nchi yetuHata mm natamani iwe hivyo, lakini katiba inasemaje?
😆😆😆😆 Mimi naongea ukweli tu na kuwakilisha sauti nazozisikia kutoka mitaani zinavyozungumza juu ya kiu Yao ya kumhitaji mama Samia Kuendelea kuwa Rais wao mpaka 2030Luca,ukishashiba makatapera unakuwa mjinga sana.Hapo unapiga mbwewe tu.
Rais Samia Anatosha Kuendelea kutuongoza maana ameonyesha uwezo mkubwa wa kiuongozi,Sauti ya watanzania na chaguo lao ni mama Samia tu,hawahitaji Jambo lingine Zaid ya mama yao mama Samia aliyeonyesha kuwajali kuwapenda kuwasikiliza na kuwaongoza kwa unyenyekevu na uungwana huku akijenga umoja wa kitaifa ulioimaraHii Nchi inaongozwa kwa sheria na Taratibu za Kikatiba , 2025 mama yetu apumzike amelishalivusha Taifa hili kwenye kipindi kigumu cha kumpoteza kipenzi chetu Jemadari wa Vita Hayati DR. John pombe Magufuli ....Sasa tumahitaji kijana mmoja mwenye moyo wa kizalendo kama wa JPM arudishe heshima ya Taifa letu ...
Hata ije katiba itakayo andikwa na madaktari wa sheria kutoka chuo Cha Havard au Oxford au Udsm bado Rais Samia atashinda kwa kishindoo asubuhi na mapema sanaaaBila katiba mpya 2025 hakuna hata haja ya uchaguzi, aendelee tu regardless ni kweli ama sio kweli.
Ni mamilioni ya watanzania wanamtaka na wanakiu juu ya Jambo hiloWacha uongo, sema wewe ndio unapenda iwe hivyo.
Hii siyo barua ya maombi ya uteuzi wa nafasi za uongoziTeuzi za mwaka huu zimeisha, ila ongeza bidii kuna siku watakupigia simu
Anaanzaje kujua,mimi sipingani na hoja yako ila naomba uweke reference ya reseach uliyofanya na methodogy uliyotumia hadi ukajiridhisha kuwa unaweza kuisemea Nchi (Watanzania)
Unajua unaongelea mada ya kubadilisha katiba ambayo sio rahisi kiivyo
Kakutuma, unajituma au kujipendekeza. Kwanini usifiche ujinga na kuonyesha ujuzi. Nenda kasome katiba kabla ya kuleta huu utoporoNdugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627

Kama ni hivyo basi umefanya kitu kizuri sana. Lakini nakusihi utoe takwimu za kitafiti ikiwa kama sehemu muhimu ya kimantiki katika mada yako uliyoileta, ili wafuatiliaji wa hoja yako wapate kushawishika zaidi na madai yaliyopo ndani ya maudhui uliyowasilisha hapa jukwaani.Nimefanya utafiti wa kutosha na kugundua kuwa Ni makundi yote yanaridhishwa na utendaji kazi na uchapa kazi wa Rais Samia na kuhitaji Rais Samia abakie ikulu kwa ajili ya kuwatumikia
Katiba inamruhusu na watanzania wameshaisoma na ndio maana ya uamuzi huo na kiu hiyo ya kutaka Rais Samia Kuendelea kuwaongozaKakutuma, unajituma au kujipendekeza. Kwanini usifiche ujinga na kuonyesha ujuzi. Nenda kasome katiba kabla ya kuleta huu utoporo
Silali lumumba maana pale Ni ofisi za chama na siyo Gest au logiHv braza Unalala Lumumba au wamekuwekea Mlinzi akusimamie muda wote uposti upupu ?
Rais Samia anakubalika na kupendwa Sana na watanzania wa vyama vyote na makundi yote na Wala hawezi kumlipa mtu kumsifia maana mambo aliyotufanyia nchi yetu Ni makubwa Sana na yakuacha Alama kwa miaka mingi Ijayo yataendelea kubakia katika mioyo ya watanzaniaMie kwa sehemu nilizo pita hapa Tz sijaona sehemu yoyote wanayo unga mkono haya uyasemayo. Kiufupi huu utawala ni moja ya utawala mbovu ambao unapingana n maendeleo yaliyo achwa na uongozi wa magufuli.
Huyu mama kaweza ku invest kulipa watu kuweza kumsifia mitandaoni tu 😂
Hii ni ajenda mbovu sana
Naona ni Tanzania ya kwao,,Tanzania ya mtaani kwako? Sawa
Kweli katugusa wote: kwa tozo, makato benki, mikopo imetupunguzia bei za bidhaa mitaani, watu wanajenga majumba kilao kona.Ndugu zangu watanzania,