Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 55,705
- 104,843
Una uhakika hauumwi malaria?Silali lumumba maana pale Ni ofisi za chama na siyo Gest au logi

Ndugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
mimi sipingani na hoja yako ila naomba uweke reference ya reseach uliyofanya na methodogy uliyotumia hadi ukajiridhisha kuwa unaweza kuisemea Nchi (Watanzania)
Unajua unaongelea mada ya kubadilisha katiba ambayo sio rahisi kiivyo
Au awe Rais wa maisha kama Kamuzu Banda.Ndugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Ndio ninao uhakika kwa kuwa ninayoyaandika Ni sauti za watanzania
Usiwe mpuuzi kiasi cha kutaka katiba ivunjwe.Ndugu zangu watanzania,

Mmeanza tena, yaleyale ya awamu iliyopita! Acha Rais apige kaz tutaona mafanikio ama la.Ndugu zangu watanzania,

Mitaa gani?.Njoo mitaani uone namna watanzania wanavyosema juu ya Rais Samia
Unga kilo Tsh 2400 hapaNdugu zangu watanzania,

Zenu ni laana sio kingineHii siyo barua ya maombi ya uteuzi Bali Ni andiko linalohusu maoni ya watanzania namna wanavyomkubali Rais Samia na kutoona sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Urais,kwa kuwa Rais Samia Anatosha
Bro hata unaemsifia nae anakushangaa sanaNdugu zangu watanzania,
sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.
watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.
Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?
Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?
Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?
watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.
Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.
Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627
Tanzania itajengwa na watanzania ,ndio maana Watanzania Tumeungana na Rais wetu kuijenga nchi yetu wenyewe kwa kuchangia kiasi kwa kila mtu alivyojaliwa kipatoAnakubalika Kwa matozo
Kilimo ni biashara ,acha wakulima wafaidike na jasho lao maana wameteseka kwa miaka mingi Sana na kulia Sana ,Sasa Rais Samia kaja Kama mkombozi wa wakulima Tanzania,kawaheshimisha wakulima na kukipa heshima kilimoUnga kilo Tsh 2400 hapa
Rais wetu anaendelea na kazi Kama kawaida yake ya uchapa kazi bila kuchoka,ndio maana unaona maendeleo na mafanikio makubwa katika kila sectaMmeanza tena, yaleyale ya awamu iliyopita! Acha Rais apige kaz tutaona mafanikio ama la.
Kikatiba Rais Samia anaruhusiwa kugombea Urais Tena na kutuongoza mpaka 2030Usiwe mpuuzi kiasi cha kutaka katiba ivunjwe.
Hata kama SSH anakubalika
uchaguzi ni lazima ufanyike.
Rais wetu anaheshimu katiba na hivyo ifikapo 2030 atampisha mwingine ili aendeleze kazi yake iliyotukuka iliyokonga mioyo ya watanzaniaAu awe Rais wa maisha kama Kamuzu Banda.
YepKikatiba Rais Samia anaruhusiwa kugombea Urais Tena na kutuongoza mpaka 2030