Watanzania wasema Rais Samia anatosha na hakuna sababu ya kufanyika kwa uchaguzi wa Rais 2025

Bro hata unaemsifia nae anakushangaa sana
Watanzania ndio wapiga kura na wenye nchi na ndio wanaomhitaji Rais Samia kwa Mara nyingine Tena maana wanajuwa katika mikono ya Rais Samia nchi inakuwa salama na tulivu
 
Weka research. Uchawa huo hata Rais hautaki anakuona wa ovyo tu. We sema unamkubali kama wewe
 
Ndugu zangu watanzania,

sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.

watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.

Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?

Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?

Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?

watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.

Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Attachments

  • C03CAA20-CE02-4739-91D6-A497422A0493.jpeg
    C03CAA20-CE02-4739-91D6-A497422A0493.jpeg
    113.6 KB · Views: 25
  • IMG_8623.MP4
    7.1 MB
Weka research. Uchawa huo hata Rais hautaki anakuona wa ovyo tu. We sema unamkubali kama wewe
Ndio nimefanya utafiti na nikaja na andiko hili baada ya kuzungumza na makundi mbalimbali na watu wa Rika zote na jinsia zote,ambapo wote kwa pamoja wameonyesha kuridhishwa na utendaji kazi wa Rais Samia na kuhitaji kuona akiendelea kubakia ikulu
 
Ndugu zangu watanzania,

sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.

watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.

Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?

Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?

Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?

watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.

Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Bonge la chawa
 
Mleta mada ni miongoni mwa watanzania wengi waliolofazwa
 
Hao Wtz wanaishi nchi gani huko nje mkuu?
Maana kwa huku Tanzania sijamsikia hata Mtz 1 akisema uliyoyaandika.
 
Utasemaje hujamsikia mtanzania hata mmoja wakati unaona Watanzania mitaani wakipaza sauti zao kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza? Huoni namna hata vijana kuanzia wa vyuo vikuu wanavyojiandaa kumchangia Rais Samia fedha ya kuchukulia fomu ya Urais Kama sehemu ya kuonyesha upendo kwake

Ningekuwa nimesikia ninge kuuliza?
 
Hukumu yako imeshaandikwa.mngemsaidia sana kama mtalenga mambo ya kunyanyua maisha ya chini ya wananchi,huduma za msingi,kuliko kumsifia tuu.Elekeza hiyo akili yako kwenye utafiti sahihi.
 
Utasemaje hujamsikia mtanzania hata mmoja wakati unaona Watanzania mitaani wakipaza sauti zao kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza? Huoni namna hata vijana kuanzia wa vyuo vikuu wanavyojiandaa kumchangia Rais Samia fedha ya kuchukulia fomu ya Urais Kama sehemu ya kuonyesha upendo kwake
Mbona hayo maigizo ya mbumbu unaowasema wa vyuo vikuu hata kwa Lowassa waliigiza?

Ni ajabu kuona mpaka karne hii bado vyama vinamezesha wapambe wao itikadi za kipuuzi namna hii,yaani mnawafundisha vijana upumbavu ili kesho tuwe na taifa la kipumbavu kisa tamaa za kipumbavu?
 
Ndugu zangu watanzania,

sauti za mamilioni ya Watanzania ni kiu Yao ya kuhitaji utumishi wa Rais Samia mpaka 2030, watanzania wengi wameguswa na uchapakazi wa Rais Samia, wametekwa mioyo Yao na kazi za Rais Samia ambazo zimeleta Tabasamu na Taswira mpya ya kimaendeleo katika Taifa letu.

watanzania kwa wingi wao hawaoni sababu ya kupoteza mamilioni ya Fedha kwa ajili ya kuchapisha karatasi za nafasi ya Urais wakati utendaji kazi wa Rais Samia umejibu maswali ya Watanzania na kukata kiu Yao ya muda mrefu ya kuhitaji Rais mchapa kazi, mzalendo, msikivu, Jasiri, imara, madhubuti, shupavu, mwenye maono Sera na ajenda za kugusa maisha Yao.

Watanzania wanajiuliza wamtoe na kumnyima Rais Samia kura ili wampe Nani? Aje afanye nini kipya ambacho hajafanya Rais Samia? Aje na ajenda na Sera zipi ambazo Rais Samia hajazigusa katika maisha Yao?

Wanajiuliza kipi ambacho Rais Samia hajatekeleza ama kukigusa katika yote waliyoyahitaji watanzania?

Wanajiuliza kwanini wasimpe muhula wa pili Rais Samia ili aendeleze kazi njema aliyoianza ya kuijenga nchi yetu? Kwanini wamnyime Kura zao wakati muda wote amekuwa akizungumza ajenda zao?

watanzania wanamuona Rais Samia Kama mkombozi wao katika kuwakwamua kiuchumi,wanamuona Rais Samia Kama kiongozi mwenye uthubutu mkubwa Sana na ujasiri wa Hali ya juu katika kusimamia maslahi ya Taifa letu,wanaona namna Rais Samia alivyojitoa na kujitolea kulitumikia Taifa letu kwa moyo wa uzalendo, wanaona juhudi za Rais Samia katika kujenga uchumi jumuishi unaomgusa kila mtanzania pasipo kumwacha yeyote nyumaa,wanaona namna alivyotuvusha katika nyakati ngumu mpaka hapa alipotufikisha ambapo kila mtanzania Anayo matumaini makubwa Moyoni mwake ya kutimiza Ndoto zake.

Ndio sababu ya Watanzania kumhitaji Rais Samia Kuendelea kuwaongoza, Watanzania wanahitaji Rais Samia abakie ikulu Kama Rais wao na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama,wanahitaji kuona Rais Samia akiendelea kuwatumikia na hawaoni sababu ya kuona Rais Samia akizunguka mikoani kuomba kura wakati kazi zake kupitia miradi mbalimbali inaonekana kwa kila mtanzania, Hivyo wanaona muda wa kampeni abakie ikulu akichapa kazi na kuwahudumia watanzania kwa kuwapelekea maendeleo yanayogusa maisha yao.

Kazi Iendeleee , mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Tumekuelewa ila no ya simu ya nini mkuu
 
Acheni kutamani ujinga wa marehemu Magufuli na genge lake, demokrasia ni lazima ifanyike. Mtu unaamua kuchagua upumbavu hali ukijua nchi inaharibika kwa upuuzi wako!
 
Hukumu yako imeshaandikwa.mngemsaidia sana kama mtalenga mambo ya kunyanyua maisha ya chini ya wananchi,huduma za msingi,kuliko kumsifia tuu.Elekeza hiyo akili yako kwenye utafiti sahihi.
Nimeandika baada ya kufanya utafiti wa kina kwa makundi mbalimbali
 
Back
Top Bottom