Wajinga ni akina nani? Tungekuwa wajinga msingejihangaisha kuzunguka mikoa yote, wilaya zote kuomba kura..Kwasababu wajinga ndio waliwao[emoji38] [emoji38]
Ni kweli uliyosema, ni njia tu ya kufuja pesa.Wajinga ni akina nani? Tungekuwa wajinga msingejihangaisha kuzunguka mikoa yote, wilaya zote kuomba kura..
Labda kama hiyo pia ni njia nyingine ya kufuja tu fedha za walipakodi..
Kwahiyo mnakubali nyie ni sehemu ya huu umaskini wetu? Sasa nani mjinga hapo?Ni kweli uliyosema, ni njia tu ya kufuja pesa.
Masikini ni wewe, mbona mimi sio masikini?, jisemee wewe.Kwahiyo mnakubali nyie ni sehemu ya huu umaskini wetu? Sasa nani mjinga hapo?
Hayo mabilioni si mngeboresha huduma za kijamii kuliko kuzitumia kizembe hivyo..
Vipi kuhusu Lowassa? Bernard sikumtaka, ingawa angepata kwangu kungekuwa na benefit kubwa sana
Unajiangalia wewe.. kuna faida gani ya kujiita watanzania kama unajijali binafsi?Masikini ni wewe, mbona mimi sio masikini?, jisemee wewe.
Hata ndugu zangu, rafiki zangu na jamii ninayoishi sio masikiniUnajiangalia wewe.. kuna faida gani ya kujiita watanzania kama unajijali binafsi?
Malcom, maneno yako ni mazito sana.. Imetoa picha kwangu kama Urais wa Tz si taasisi bali ni wa mtu binafsi na mawazo yake na mtizamo wako.. Ndio maana tuna nchi ya hovyo sanaMzee Edward ni mbabe sana lakini ni POLITICAL CLASS, yaani anaweza kukaa chini na kuyamaliza mambo kwa diplomasia. He is an Ideologue and a populist, above all he is business oriented.
Mzee Benard is Very ambitious, ruthless, cunning na ni OFFICER CLASS, mtazamo wake wa dunia ni tofauti kidogo na wanasiasa wenzake: Kwenye mlengo wa Siasa tunamuita A PRINCIPLED REALIST, yeye anaamini kwamba nchi itakuwa salama tu pale ambapo itaweza kuwa na nguvu kushinda majirani na maadui wanaotuzunguka.
Taarifa ililetwa humu jana/juzi kama sikosei baada ya kukamatwa.jambo lingine najiuliza sana...hawa vifaranga wamewahi kupatikana na ugonjwa wowote kweli ama wanachomwa tu sababu ya chuki na uhasama kati ya Kenya na Tz?
Hongera sana boss.. Ila toka hapo Posta kilomita chache tu unafika Tandale, hapo hata huduma ya maji safi ya bomba hakuna.. Mji Mkuu wa kibiashara huoHata ndugu zangu, rafiki zangu na jamii ninayoishi sio masikini
Malcom, maneno yako ni mazito sana.. Imetoa picha kwangu kama Urais wa Tz si taasisi bali ni wa mtu binafsi na mawazo yake na mtizamo wako.. Ndio maana tuna nchi ya hovyo sana
Wivu mkuu watanzania wana chuki na wivu kwa kenya....jambo lingine najiuliza sana...hawa vifaranga wamewahi kupatikana na ugonjwa wowote kweli ama wanachomwa tu sababu ya chuki na uhasama kati ya Kenya na Tz?
Wivu mkuu watanzania wana chuki na wivu kwa kenya....
Mimi siishi Dar mkuu, nipo kijijini Mwakaleli Mbeya, mimi ni mkulima nilishastaafu kazi, huku kijijini maisha ni mazuri hatuna shida yoyote.Hongera sana boss.. Ila toka hapo Posta kilomita chache tu unafika Tandale, hapo hata huduma ya maji safi ya bomba hakuna.. Mji Mkuu wa kibiashara huo
Wewe ni mtu wa hekima sana. I can tell you are a wise man. Kwanza kama umeweza kumlambisha sakafu huyo joto la jiwe. Hongera zako mzeeHongera sana boss.. Ila toka hapo Posta kilomita chache tu unafika Tandale, hapo hata huduma ya maji safi ya bomba hakuna.. Mji Mkuu wa kibiashara huo
Ipo kwenye gazeti la Nipshe mkuuMbona magazeti ya bongo msimu huu hayajatoa hii habari
Chuki na uhasama tuu. Na ukosefu wa busara kwa viongozi wa idara ambazo zinahusikajambo lingine najiuliza sana...hawa vifaranga wamewahi kupatikana na ugonjwa wowote kweli ama wanachomwa tu sababu ya chuki na uhasama kati ya Kenya na Tz?