jimama26
JF-Expert Member
- Jul 30, 2013
- 2,839
- 2,963
Kwa sasa Tanzania imerudi kulekule kwenye zama za unga. Na hapa bado hawajakamatwa, wako wengi tu wanasafirisha kwa sasa.
Wanaoishi South Africa wote wamerudi Bongo. Biashara inaendelea vizuri tu.
Na ndio hawa utakuta wanafurahia zama hizi maana biashara zao zinaenda vizuri.
Somehow basi ni kweli JPM aliidhibiti hii biashara.