Siku hizi wanaiba majina ya watuChristian ni Moses
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku hizi wanaiba majina ya watuChristian ni Moses
Wauliwe wote wenye majina ya Kiarabu, wabakishwe wenye majina ya kizungu tu.Haya majina ya Kiarabu haya!!!
Mkuu nakumbukaga ule uzi wa kuchimba kisima. Nilikukubali kwasababu umechimbpa kisima chako hadi umeweka swimming pool. Lakini hujawasahau the less unfortunate ambao wanashida na maji kwa kuwawekea bomba nje na kuchota maji wanavyopenda huku ukinywa juis nakujiburudisha kwenye swimming pool.Hana Hoja huyo.
Hapana, Kila mtu ana haki ya kuishi na kuheshimiwa na tofauti zakeWauliwe wote wenye majina ya Kiarabu, wabakishwe wenye majina ya kizungu tu.
Kitimoto is necessary???Billion 2 mate yananitoka
Sema haya maisha sometimes ni kujilipua tu umafia umafia ukitoboa hapo unaachana kbs na hiyo biashara unanunua zako benz unaenda kujenga kajengo kadogo lushoto..unaanzisha m pesa,kamin supermarket na ka daladala kamoja na ka grocery kamoja chenye kitimoto na duka la nguo..unatulia kimyaaaaa
Na bado silali usiku wanavyoniwangia mara nasikia wakitembea juu ya paa mara nawasikia wakibamiza milango.Mkuu nakumbukaga ule uzi wa kuchimba kisima. Nilikukubali kwasababu umechimbpa kisima chako hadi umeweka swimming pool. Lakini hujawasahau the less unfortunate ambao wanashida na maji kwa kuwawekea bomba nje na kuchota maji wanavyopenda huku ukinywa juis nakujiburudisha kwenye swimming pool.
Ndugu achana na michongo sijui umekwepa kodi , nazungumzia hii haramu madawa, ujambazi , meno ya tembo na mingineyo kama hiyo niliyotajaNipe mchongo wa biashara moja ya halali itakayoweza kunitoa kimaisha,mtaji usizidi 20m,ntashukuru sana.
Niijuwa tu, siku zote ni Waislam na matukio kama haya. Tukisema watu wanachukia na kusema kuwa tunakashifu Uislam. Jamani matukio si mnayaona hata nyie wenyewe, rudini shule au himizeni wanenu kusoma.View attachment 2786999
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili yao ikiwa ni tukio la saba ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nchini humo.
Taarifa zinasema mwanzoni mwa mwezi October chombo hicho cha ujasusi DRI kilimnasa Mussa Mgonja (62) na Rashid Zamiru (23) ambao waliwasili kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia kuelekea jijini Mumbai nchini India.
Ingawa utafutaji wao wa binafsi haukuzaa matunda, kwa mujibu wa ripoti walipopelekwa katika Hospitali ya JJ, Musa alionekana na vidonge 79 ndani ya mwili wake na Rashid akiwa na vidonge 33 kisha uchunguzi zaidi ulibaini kuwa wawili hao walikuwa wabebaji mahiri wa dawa za kulevya ambapo Mussa alisema hiyo ilikuwa ni safari yake ya pili na alikuwa amesafirisha vidonge kufikia 125 vya madawa huko kuelekea jijini Delhi, nchini India.
Ayo updates
Jf imevamiwa kweli siku hizi ,maana watu wanatumia hisia na ushabiki katika mijadala ya humu.
Mkuu hii fani ni yenuJf imevamiwa kweli siku hizi ,maana watu wanatumia hisia na ushabiki katika mijadala ya humu.
me sijui biashara hiyo,but kwa kupitia movie ya dope.,series ya Black mafia,na series ya wu tang,kama hiyo ni pure coke,inafika usd 120KCocaine kilo 1.5 ni sh. Bilioni 2 ???
Jamaa miaka 62 anahangaika bado na dunia.Jamaa miaka 62 anahangaika bado na dunia. Kijana miaka 23 anataka vya haraka haraka. Kizaazaa hicho imekula kwao. Jela za India sio rafiki kabisa.
Bado inajiona janki,acha wahindi wazikeHiyo dingi ya 62 imechochola sana
Huko unakoenda kujengea hako kajumba kadogo nakupa [emoji817]% kabisa!Billion 2 mate yananitoka
Sema haya maisha sometimes ni kujilipua tu umafia umafia ukitoboa hapo unaachana kbs na hiyo biashara unanunua zako benz unaenda kujenga kajengo kadogo lushoto..unaanzisha m pesa,kamin supermarket na ka daladala kamoja na ka grocery kamoja chenye kitimoto na duka la nguo..unatulia kimyaaaaa
Ndio wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevywa hapa nchini, huwezi kuta patrick,james au johnHaya majina ya Kiarabu haya!!!
Ndio wauzaji na wasambazaji wa madawa ya kulevywa hapa nchini, huwezi kuta patrick,james au john
Washirika wa mmiliki wa kituo cha Cambiasso Sport Academy kilichopo Tuangoma wakamatwa na kilo 15 za dawa za kulevya aina ya heroin.wachungaji ndio wanaongoza kwa kuuza dawa za kulevya kwa kupitia mgongo wa kanisa