Chance ndoto
JF-Expert Member
- Mar 8, 2017
- 4,363
- 10,265
huelewi chochote bado unasoma thread ww.Awamu ya 2, 4 na ya 6 madawa ya kulevia huwa ni Biashara ya kawaida kabisa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huelewi chochote bado unasoma thread ww.Awamu ya 2, 4 na ya 6 madawa ya kulevia huwa ni Biashara ya kawaida kabisa.
DARASANI ULIKUWA WA MWISHO?
Pesa haijawahi kujaa na kumtosha mtu,kama ukishaingia kwenye hayo mambo,hutaacha kirahisi hivyo,ndio maana wengi huwa wanaishia kukamatwa...Billion 2 mate yananitoka
Sema haya maisha sometimes ni kujilipua tu umafia umafia ukitoboa hapo unaachana kbs na hiyo biashara unanunua zako benz unaenda kujenga kajengo kadogo lushoto..unaanzisha m pesa,kamin supermarket na ka daladala kamoja na ka grocery kamoja chenye kitimoto na duka la nguo..unatulia kimyaaaaa
Kumbuka unafanyia kazi hyo watu, hawawezi kubali uache hv hvBillion 2 mate yananitoka
Sema haya maisha sometimes ni kujilipua tu umafia umafia ukitoboa hapo unaachana kbs na hiyo biashara unanunua zako benz unaenda kujenga kajengo kadogo lushoto..unaanzisha m pesa,kamin supermarket na ka daladala kamoja na ka grocery kamoja chenye kitimoto na duka la nguo..unatulia kimyaaaaa
View attachment 2786999
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili yao ikiwa ni tukio la saba ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nchini humo.
Taarifa zinasema mwanzoni mwa mwezi October chombo hicho cha ujasusi DRI kilimnasa Mussa Mgonja (62) na Rashid Zamiru (23) ambao waliwasili kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia kuelekea jijini Mumbai nchini India.
Ingawa utafutaji wao wa binafsi haukuzaa matunda, kwa mujibu wa ripoti walipopelekwa katika Hospitali ya JJ, Musa alionekana na vidonge 79 ndani ya mwili wake na Rashid akiwa na vidonge 33 kisha uchunguzi zaidi ulibaini kuwa wawili hao walikuwa wabebaji mahiri wa dawa za kulevya ambapo Mussa alisema hiyo ilikuwa ni safari yake ya pili na alikuwa amesafirisha vidonge kufikia 125 vya madawa huko kuelekea jijini Delhi, nchini India.
Ayo updates
Wakati huo waliokutumia wamekaa kimya?Billion 2 mate yananitoka
Sema haya maisha sometimes ni kujilipua tu umafia umafia ukitoboa hapo unaachana kbs na hiyo biashara unanunua zako benz unaenda kujenga kajengo kadogo lushoto..unaanzisha m pesa,kamin supermarket na ka daladala kamoja na ka grocery kamoja chenye kitimoto na duka la nguo..unatulia kimyaaaaa
Ina maana Uhamiaji na NIDA hawashirikianiHao ni watanzania wengi hutumia majina ya bandia ya sikudanganye, sasa hivi watanzania wote wa nafanana kitabia.
Kama kipindi cha Prince kanaswaSamia hazungumzii kulaani RUSHWA wala biashara ya MIHADHARATI!! Jiulize kwanini?
Tunafungua nchi hilo nalo mkalitizame vizuriView attachment 2786999
Kurugenzi ya Mapato ya Ujasusi nchini India (DRI) imewakamata Raia wawili kutokea nchini Tanzania kwa madai ya kuhusika na usafirishaji wa kilo 1.5 ya madawa ya kulevya aina ya Cocaine yenye thamani ya kati ya milioni 80 hadi 100 ya India (Tsh Bil 2.4 mpaka Bil 3) kwa kuzificha ndani ya miili yao ikiwa ni tukio la saba ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nchini humo.
Taarifa zinasema mwanzoni mwa mwezi October chombo hicho cha ujasusi DRI kilimnasa Mussa Mgonja (62) na Rashid Zamiru (23) ambao waliwasili kutoka Addis Ababa nchini Ethiopia kuelekea jijini Mumbai nchini India.
Ingawa utafutaji wao wa binafsi haukuzaa matunda, kwa mujibu wa ripoti walipopelekwa katika Hospitali ya JJ, Musa alionekana na vidonge 79 ndani ya mwili wake na Rashid akiwa na vidonge 33 kisha uchunguzi zaidi ulibaini kuwa wawili hao walikuwa wabebaji mahiri wa dawa za kulevya ambapo Mussa alisema hiyo ilikuwa ni safari yake ya pili na alikuwa amesafirisha vidonge kufikia 125 vya madawa huko kuelekea jijini Delhi, nchini India.
Ayo updates
Umepiga hesabu ya faida tu bila mtaji na expenses nyinginezo,hapo labda faida au labor charge isizidi 10m.Billion 2 mate yananitoka
Sema haya maisha sometimes ni kujilipua tu umafia umafia ukitoboa hapo unaachana kbs na hiyo biashara unanunua zako benz unaenda kujenga kajengo kadogo lushoto..unaanzisha m pesa,kamin supermarket na ka daladala kamoja na ka grocery kamoja chenye kitimoto na duka la nguo..unatulia kimyaaaaa
Hiyo kazi ni laana huachi mpka siku ukamatweMiaka 62 bado unauza nganda sasa itakuwaje ?
hata maeneo wanayotoka wanajulika ni wapiFanya tafiti hata wanaokamatwa hapa bongo ambao tunaowafahamu wanayofanya biashara hizo za ngada , fuatilia Imani zao, au wale wazamiaji wa Afrika ya kusini wanao uza ngada huko wapeleleze ukikuta 100 basi 90 ni WA kwenu
99%ni wavaa magobasiAcha kubatiza watu dini jina sio kigezo cha kujua dini ya mtu kwa mfano mimi ni mkristo ila jina jina langu sio la kikuristo kabisa
Nipe mchongo wa biashara moja ya halali itakayoweza kunitoa kimaisha,mtaji usizidi 20m,ntashukuru sana.Kwanza nitoe ushuhuda , nimewahi ishi India zaidi ya miaka kumi wakati nilienda soma miaka ya 90 katikati mpaka 2000. Unzi hizo balozi alikuwa mzee Kiwanuka na baadaye alikuja Marehemu mama Eva Nzaro. Wakati huo kulikuwa na mchezo ambao walikuwa wanakamatwa Watanzania lakini mwisho wa siku ukienda unakuta siyo.
Watanzania walikuwa na mchezo wa kuazimisha Passport wakati huo kabla ya hizi za sasa kwa Wanaigeria kwa utaratibu waliokuwa wanaojua wao wenyewe.Sasa bahati mbaya wakishikwa ilikuwa inaonyesha Watanzania ila ukiwakuta hata kiswahili hawajui zaidi wanaongea Kinaigeria. Nachelea kusema isije kuwa yakawa hayo hayo japo naamini Pasport zetu zipo vizuri kiusalama. Ila nilichoandika ni hali ilivyokuwa miaka hiyo wakati nikiwa huko na Paasport za watanzania zilikuwa dili zuri sababu tuliaminika sana kulinganisha na wakenya au wanaigeria. Watanzania wengi wao biashara hii sana wanafanyia Afrika ya Kusini. Inasikitisha sana watu kujiingiza biashara hii mbona zipo biashara halali za kufanya
Sema hiyo Business ya kikuda sana,yaani ukikamatwa msala ni wako,Boss anakutelekeza na anachofanya ni kupambania mzigo wake tu!Unakuta mzigo si wako, umeajiriwa kama ajira zingine tu na malipo labda ni 10M, ndio maana alibeba mara ya kwanza akabeba tena.
Utawafanya nini wakati the whole system is corrupt.Hiyo movie Dr.Mwakyembe ameshawahi ishuhudia akiwa Waziri wa Uchukuzi awamu ya nne na hakuna kitu kilifanyika kwa wahusika.Kama walitokea Tanzania, ichunguzwe ndege waliyoondoka nayo ilikuwa wakkati gani, askari, usalama wa taifa, watu wa forodha waliokuwepo siku hiyo wote ni wahusika. Waliowasindikiza pia waytaonekana kwenye cctv, wote wamo hao.