Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

Sembe kutoka Tanzania
Watanzania Agnes na Melisa wakamatwa Afrika Kusini na

Agnes 25 (miaka ya kuzaliwa)
Melisa 24 (miaka ya kuzaliwa)

MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:: MATATANI KWA KUKUTWA NA MIHADARATI
Abdula 30 (miaka ya kuzaliwa)
Mohamed 18 (miaka ya kuzaliwa)

Wasaniii wamekuwa si kiooo cha Jamiii kama ilivyokuwa hapo zamani za kale

Jamani vijana ni nguvu kazi ya Taifa


*******Je hii ni kwa sababu huhitaji VISA kusafiri kwenda africa kusini?
Tanzania inaingia kwenye ramani ya dunia...wasafiri kutoka Tanzania watakuwa wanakaguliwa ka mmbwa mwizi

Tafakari chukua hatua
 
Si ndo alikuwa anasema oooh naendaga south kupumzika sababu wananaume wa bongo wanamsumbua sababu ya makalio yake

True nskumbuka aliwahi kutuhumiwa kuaa SA anaenfaga kuuza mashimo yake ya chini akaja juu sana kukanusha eti anaendaga kupumzika tuu bongo wanaume wanamsumbua sana.
Loh sasa utapumzika kweli.
 
Hawa vijana wa kisasa na hasa wasanii wa kizazi kipya na waigizaji wanaishi kwenye nchi za kufikirika. Wanataka maisha ya bei kubwa kama ya wenzao wa ulaya na marekani bila kujua kuwa wale wapo kwenye ulimwengu wa kwanza wakati sisi hata kwenye ule wa tatu tulishatoka tunaelekea kwenye ulimwengu wa tano sana. Matokeo yake wanajikuta wakilazimika kufanya biashara haramu ili kujionesha kuwa nao wako juu. Pumb.................ffffff.
 
Mbona kichwa cha habari na mada husika havendani??
 
hii ni sifa kubwa sana kjwa taifa hawa vijana wameitangaza Tanzania hata waliokuwa hawaijui wameisoma ..hongera kwa TISS na wafanyakazi wa JK Nyerere airport kwa export za nguvu zinazofanyika pale
 
Ulimbukeni umewaponza hawa madada,majitambo na sifa na kurukia mambo yasiyo sizi yao.najua kuna watu wanafanya sana biashara jiz za madawa na wapo salama kila siku sababu ni kwamba wanafanya kwa siri na kwa kutumia akili.picha hao za majigambo na sifa zimesababisha wanausalama kuwafuatilia imi kujua hasa kinachowaleleka bondeni kila mara ni nini??.kwa mjda wa miez miwil wamefuatiliwa na hatimaye wamekamatwa japo pale mwalimh nyerer walitoka salama.mtandao huu ni mkubwa na nivigumu muuumaliza,.



Take.wasanii na wanamuziki msikubali kutumika kama njia ya kusafirisha vitu haramu kama madawa ya kulevya.ishini uhalisia sio maisha ya kufikirika .na jikubalinibkwamba hamna kitu maana hata familia mnazotoka tunazijua.Tandem kazi na kuacha maisha ya starehe yanayowapeleaka ubaya kilabsiku
 
...Picha za Melisa Edward

Mellis Edward
Inahisiwa kuwa huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la "Melisa Edward" ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister' katika akaunti yake ya Facebook.picha na bongo clan​

[TABLE="class: tr-caption-container, width: 655"]
[TR]
[TD]
[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="class: tr-caption"]AKIWA NA MSANII IZZO B BATANI[/TD]
[/TR]
[/TABLE]






Source: Bloggers
 
Jk airport ndiyo njia kuu ya madawa kwa nchi za africa mashariki na kayti na nchi ya msumbiji mpaka south watanzani ndiyo makontena na manaigeria
 
Huwa sin imani na kamanda Nzowa! Nakumbuka aliwahi kutuhumiwa kutaka kumbambika mtoto wa Mengi drugs lakini hiyo issue ilipotezewa kiaina hebu tukumbushane iliishaje??

Kama hali ndio hiyo tutarajie vijana wengi kuharibikiwa na mwisho wa siku mateja kila familia hata za hao wanaouza huo unga hawatapona
 
Ilikuaje ukakaguliwa mizigo kwenye local airport,, kusema kweli sijawai kukaguliwa mizigo mwanza hata mara moja,,

Sehemu wanayokagua mizigo ni JKIA tena ukiwa unaenda nje ya nchi.. But kwa safari za ndani sijawai kusachiwa
Wacha fix wewe kamongo, unadhani airport ni sawa na bandarini? hata ukisafiri vile vindege vidogo ni lazima ukaguliwe, wewe kama ujakaguliwa basi ulisafiri kwa ungo na siyo ndege.
 
Wacha fix wewe kamongo, unadhani airport ni sawa na bandarini? hata ukisafiri vile vindege vidogo ni lazima ukaguliwe, wewe kama ujakaguliwa basi ulisafiri kwa ungo na siyo ndege.

ebu mwelezee huyo sijui alipanda ndege wapi, airport swala la ukaguzi ni compulsory na mizigo yako lazima ipimwe!!
 

Mkuu uliyoeleza ni kweli tupu nakumbuka pale Hostel siku za mwisho Agness alikuwa anakula sana vichwa vya serikalini....madereva wa serikali...walikuwa wanaambizana kwamba 0713 yako ni tight...Kwa ujumla mtoto alifanya sana ufedhuli huyu hapo mwananyamala..Ila ni kutokana na taste ya mtu mimi nilikuwa namuona havutii halafu kafupi sana.
 

du aisee wadada wanapenda maisha ya kusadikika sana sasa naanza kupata picha kina wema,wolper,lulu maisha ya juu wanayoish yanatokana na nini wema ana push vogue na mjengo wa maana kama kapanga atakuwa analipa c chini ya 900 kwa mwezi bado hela ya kulipa walinzi wa3 house gal house boy au kama nyumba yake basi ina thamani ya 450m ametoa wapi? Zaidi ya 100m kainvest kwenye kampuni yake endless film ametoa wapi fedha? Hv uwt hawakagui transaction za watu? Ant money laundaring law haifany kazi? Hawa wadada wanapata hela wapi?
 
Vitega uchumi chao wanakitumia vizuri (0713 + v)
 


kwani nae ni celebrity?

katika maisha hakuna short cut ukitumia jua itakuja kukucost mbele.........

mi nashangaa watu shule hakuna kwao hakuna background kuonyesha kuwa anakara zipo ila daily wanachange mikoko mara hili mara lile kama kunguru mara huku mara huku eti wana exposure mi nasubiri tu na wengi wanakuja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…