Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Yaelekea umeumia sana Majaliwa kushangiliwa hadi uwaone waliomshangilia kuwa ni wapumbavu. Kwani wewe umeelewa nini watu kumshangilia Majaliwa? Kwa taarifa yako waliomshangilia ni wana CCM wenzako maana kwa akili yako kisoda unafikiri ni Chadema ndiyo wamemshangilaMheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Huna akiliMheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
hawa watu ni wajinga sana.wanakwambia ameamua kukaa pembeni, hili taifa tuanze kwa kukomboa fikra kwanza
Kama.inakuuma Majaliwa kushangiliwa kufa basiMheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
vipi ujinga wa hapo ccm mkuu?hawa watu ni wajinga sana.
sana
sana
malofa sana
Samia hakufanyiwa vetting?Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Kumshangilia kiongozi yeyote yule anayetokana na ccm ni U-hayawani uliopitiliza!Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Hii ufanyikaje?vetting kubwa
Kwa mila na desturi za Tanzania Rais anaweza kuwa mtu yeyote lakini Waziri Mkuu hawezi kuwa mtu yeyote.Samia hakufanyiwa vetting?
Hakuna vetting yoyote ya maana bhana, ingekuwepo Madelu asingetia pua wala Bosi wake asingekalia kitiKwa mila na desturi za Tanzania Rais anaweza kuwa mtu yeyote lakini Waziri Mkuu hawezi kuwa mtu yeyote.