Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Aliyekwambia wote waliomo ndani ya huo mfumo ni wabaya au wanapenda jinsi ulivyo na unavyoendeshwa ni nani?Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.
Wengi tunasema kuwa ni rahisi Rais wa Tanzania kupatikana kwa bahati lakini Waziri Mkuu hapatikani kwa bahati.
Majaliwa hatakisaliti kiapo chake kwa Taifa hili. Ataendelea kuwa ndani ya mfumo mpaka umauti wake. Hata kama ataamua kuwachezea mchezo alioucheza Sumaye na Lowasa lakini mtambue kuwa hawatausaliti mfumo ambao nyie washangiliaji mnaupinga.
Lowassa hakuwahi kuinanga serikali aliyoitumikiakwa hiyo huyu mropokaji ndiyo amefanyiwa hiyo āvetting kubwaā? isitoshe what about Lowasa, mbona aliondoka na kukampeni against ccm? ā¦
Mila nandesturi gani?Kwa mila na desturi za Tanzania Rais anaweza kuwa mtu yeyote lakini Waziri Mkuu hawezi kuwa mtu yeyote.
Vetting ni nini na hufanywa na nani??Mheshimiwa Waziri Mkuu Mstaafu Majaliwa ni kiongozi ndani ya CCM, pia lazima Watanzania wafahamu kuwa katika watu ambao hufanyiwa vetting kubwa kuliko watu wote Tanzania ni Waziri Mkuu kabla hajapitishwa na Rais.