Watanzania wengi hawana akili timamu, Majaliwa wanayemshangilia leo wanadhani hayuko ndani ya mfumo

Haya n maumivu ya kutokupigiwa makofi, roho bado zinawauma 🤣
 

Serikali ingekuwa na vetting nzuri tusingekuwa tulipo. Vetting inafanywa na CCM na kwa manufaa ya vikundi vyao vya ujambazi na wizi wa kura.
 
Aliyekwambia wote waliomo ndani ya huo mfumo ni wabaya au wanapenda jinsi ulivyo na unavyoendeshwa ni nani?

Hata kwenye familia wapo watoto hawafurahii kuzaliwa na Baba au Mama husika lakini hawawezi kurudi tumboni wachague wazazi upya ili wazaliwe upya bali hufanya kila liwezekanalo kuziepuka tabia wasizozipenda kwa wazazi wao
 
kwa hiyo huyu mropokaji ndiyo amefanyiwa hiyo “vetting kubwa”? isitoshe what about Lowasa, mbona aliondoka na kukampeni against ccm? …
Lowassa hakuwahi kuinanga serikali aliyoitumikia
 
Vetting ni nini na hufanywa na nani??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…