Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Deodorant ni mbaya kwa afya bora mtu ujisafishe vizur mara nyingi zinasabisha vijipu Kwenye kwapa (armpit abscess) kwa mtu mwenye poor hygiene,,,,na wabongo wengi wanaoga mara 1 au hawaogi kabisa siwashauri hii haha
 
Acha ushamba, dunia nzima wanatumia deodorant wewe huko Mpitimbi ndiyo utuambie ni mbaya?
 
Na kibaridi hichi cha dar hasa mabachela wanakwambia tunaoga tukiwa na ugeni ndani [emoji23][emoji23]
 
Wakumbushe na kunyoa mavuzzz ya kinena na kwapani nayo ni chanzo kikuu cha harufu.
Tuvumiliane tu nchi ni yetu wote.!!
 
Hiyo namba tatu!!!mmmmh,
Napita tu,boda boda,mama ntirie,machinga apake manukato!!kwa kipato gani?!!
Vijana kula kulala mnashida sana
 
Tutajuaje kama wewe unaoga mara tatu na kupaka manukato?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…