Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

usafi ni tabia sio kipato! pesa ya vocha ipo ila ya perfume hamna!

we jamaa unasema vizuri ila kuna wanaofanya makusudi kukataa kuoga na kuna wale wenye hali ngumu shida kupata maji mpaka wakaoge Baharini.
 
Waache uchafu,waoge
 
Deodorant ni mbaya kwa afya bora mtu ujisafishe vizur mara nyingi zinasabisha vijipu Kwenye kwapa (armpit abscess) kwa mtu mwenye poor hygiene,,,,na wabongo wengi wanaoga mara 1 au hawaogi kabisa siwashauri hii haha
kumbe namimi vilinitokea
 
Chief nakuunga mkono kwenye hoja ya usafi.

Usafi ni jambo jema kwa afya
zetu na mazingira yanayo tuzunguka.

LAKINI.
Sisi wakulungwa(shamba boy)izo vitu kama manukato hayana muda kwetu.

Araf ww unaonekana ni mwanaume wa dar unaamkia chipis na kushindia chipis dume,mwanaume wa mikoani hawezi toa uzi wa kibaguzi kama huo,ina maana wakulungwa wasiingie mjini.

Unaonekana unapenda kitonga,sasa mtu umpige fine kwa harufu yake,kweli jamani.

Kumbe ukija kiumeni kila siku utakuwa unameza piliton za mafua kwa harusu zetu za jasho.

Sasa basi hoja iyo haikubaliki kwa wakulungwa(shamba boy),ipeleke kwa wabana pua sawa eeeee.
 
Mkuu uchafu na umasikini siyo sifa. Pambana upate hela na uwe msafi
 
Uko SawA kabisa kujipenda na kujikali haitegemei unafanya Kazi gani na wapi..... Watu wajitahid kuoga tu na kusafisha kwapa zao vzuri.... Na kama hawana pesa za kununua deodorant wapake malimao makwapani
 
Huo ni ukweli mchungu
 
Mkuu deodorant gani mzuri mi kuna moja natumia ila inatoa majipu kwapani.
 
Watu wengi wachafu wanadhani kuoga ni anasa na kupaka marashi na deodorant ni utajiri. Unaweza ukamtoa mtu shamba lakini ukashindwa kutoa ushamba kichwani
Ila ni aibu sana...nina mgonjwa hii week ya pili...... Yani watu ninaopishana nao hospital asubui najiuliza hivi huyu kaoga au..... muda mwingi sana watu wanafundisha kutumia limao kweny kwapa , unanyoosha ka nguo vzuri, unavaa..... Sasa asubui unakutana na mdada ananuka jasho alf ukimsalimia anaitikia mapuani khaaa[emoji28]
 
Hospital za serikali ni kadhai kubwa, watu ni wachafu sana. Elimu hii isisitizwe kuanzia shule ya awali. Ni aibu sana, nimetembea kidogo nchi nyingi hapa kwetu ni tatizo kubwa
 
Hospital za serikali ni kadhai kubwa, watu ni wachafu sana. Elimu hii isisitizwe kuanzia shule ya awali. Ni aibu sana, nimetembea kidogo nchi nyingi hapa kwetu ni tatizo kubwa
Yani ni tatizo aiseh.... Kuna siku nkipanda daladala zinazoenda umbali mrefu... Akapanda baba mmja kananyua mkono kushika chuma maan alikua kasimama..... Ehh kumchek kweny kwapa nywele zimeota zimekua nyingi alaf kumejaa ukoko mweupe.... Nlicheka hyo siku Aecha kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…