Ukisema tu niambie nakujibu NAKUPENDA hata kama ni mwanaume mwenzangu.Watanzania wengi hasa mashabiki wa CCM Wana matatizo ya kiakili mkuu!
Fikiria mtu anakupigia simu halafu anakwambia "Niambie"
Yaani unanipigia Simu halafu unasema "Niambie",nikwambie Nini?,ningekuwa na uhitaji wa kukwambia Mimi mwenyewe ningekupigia !
Nature ya kazi yangu nadeal na community so huwa nashangaa mtu anaenda ofcn kwake kupata huduma anazungushwa mara ajibiwe vibaya, mm sina hayo mambo nitakuhudumia vzr sanaa hata kazn huwa nawashangaza watu. Nakumba kuna kipindi nikikuwa nadeal na wastaaf, yaan kuna wakata wanataka wakupe hela nawaambi ninyi ni wazazi wangu na hizi pesa ni jasho lenu. Nimetuniwa sana samaki na mchele kutoka maeneo fulani. Nafurahi ujuzi wangu, kazi yangu na ninawahudumia wanajamii hadi nafurahiaKweli mkuu ukiwa humble utakaa na kila mtu..
Huwa nashanga mtu anapopata ujasili wa kumtolea mwenzake maneno machafu huwa naumia sana aiseee..
Ila kingine katika haya maisha mambo yote tunayofundishwa na vitab vya dini ni UPENDo hvo tupendane mkuu hata kwa kiasi gani ila tupendane..
Mi napenda kila mtu yoyote atakaye kuwa yupo negative na mimi its oky sina mda nae..
Potelea mbali
Natamani nikujue zaidi na zaidi mkuu..Nature ya kazi yangu nadeal na community so huwa nashangaa mtu anaenda ofcn kwake kupata huduma anazungushwa mara ajibiwe vibaya, mm sina hayo mambo nitakuhudumia vzr sanaa hata kazn huwa nawashangaza watu. Nakumba kuna kipindi nikikuwa nadeal na wastaaf, yaan kuna wakata wanataka wakupe hela nawaambi ninyi ni wazazi wangu na hizi pesa ni jasho lenu. Nimetuniwa sana samaki na mchele kutoka maeneo fulani. Nafurahi ujuzi wangu, kazi yangu na ninawahudumia wanajamii hadi nafurahia
Oooh jaman mm ni mtu tuu wa kawaida jamani, karibu sana rfkNatamani nikujue zaidi na zaidi mkuu..
Naimani kuna vingi naweza ku share na wewe sio hapa jf tuu hata nje ya hapa..
Huwa napenda sana mtu positive kama wewe ambaye huna majivuno na huna mambo mengi
Kwa kweli huyo ndo kaanza, muwahini na respiradoryMimi kuna mjomba wangu yeye ndio kiboko,yaani anakukuta umelala halafu anakuuliza.Naona uncle umelala? Au anamkuta dada yake anapika.Halafu anamuuliza tena .Naona dada unapika pika? Na hili sijui linaweza kuwa tatizo la afya ya akili?
Nimechokaaa.
Mwingine unakuta anapiga simu, inakuwa hivi;Mtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Kama ni mtu wako wa karibu Kuna saut ukisikia unajua....leo nimepokea simu mbili za namba ngeni na wote nikawajua bila utambulishoMtu anakupigia simu na namba ya Mtu mwengine sio ile ulioizoea.Unapokea unamuuliza Nani mwenzangu? Anakujibu Otea Mimi ni Nani😂😂
Poor Brain 🤣🤣🤣Akili za Poor Brain hizo
Watu wa kigoma sijui mna shida gani? Kwamba utatekwa??Mi kwanza namba ngeni sipokei mpaka mtu atume sms...
Yaan watu wa kigoma nawapenda sana kwa ubishi wao hadi raha,Watu wa kigoma sijui mna shida gani? Kwamba utatekwa??
Mkuu mimi sio wa kigom mi wa tabora ujiji ebu niwie radhi kwanza 😄😄😄Watu wa kigoma sijui mna shida gani? Kwamba utatekwa??
Ahahahah mi na wewe ni kama 20 na twenty aani tupo hivi 👌👌👌Yaan watu wa kigoma nawapenda sana kwa ubishi wao hadi raha,
😃😃Kuna mtu alinichatisha namba ngeni ila nikawa nimem-recognize sasa tumechati, tumechati.
Tukachati mpaka story ambazo tulikua mimi na yeye tu kipindi hicho [Ni She].
Nikashangaa tena ameniandikia sms "Unajua unachati na nani lakini?"
Wabongo bhana! 😆
Jana walikwama hapa dom kwa saa sita zaidi hahahAhahahah mi na wewe ni kama 20 na twenty aani tupo hivi 👌👌👌
Akipiga apokelewi utambulisho atajiongeza kwenye sms.Kuna hiyo ya otea mimi nani au ile ya mimi mume/mke wako umenisahau, tbh siintateini hayo mambo huwa nakata simu ili akipiga tena ajitambulishe vizuri.