Watanzania wengi kweli tuna changamoto ya Afya ya akili

Sio miyeyusho mkuu..
Ngoja nikupe story mi mishangzi niliyo nayo sasa inatosha aiseee hao wa tabata hapana

Alafu kuna kitu naona unataka kukitengeneza hapa ambacho wee mwneyewe na bichwa hilo umeogopa πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
Lazima uogope kuna vitu havitaniwi alaaa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ndio maana poor brain una akili nyingπŸ˜…
Mi nikiamua kupotezea ishu za kunitoa kwa mstari napotezea kweli...

Siwezi anza chunguza mtu mimi hata..
Maisha yenyewe mafupi haya badala niwaze raha et nikae nijifanye Albert Einstein kuanza kufukunyua mambo πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜
 
Take it easy bro usiji stress na vitu vidgo.
Mtu akikuambia " niambie" mjibu sina cha kukuambia lete habar, ukiona hana jambo muhimu la kuongea na muda huo una shughuli zako mwambie tu kwamba naomba nikupigie baadae nina kazi.
 
Mtu akiniambia hivyo huwa namwambia Nikikuambia utakubali? πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…