Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Mnalalamik maisha magumu mtaani mkipewa facts mnasema mnaipenda ccm.....wanafiki sana nyieMbowe mjanja sana. Alishajua yale maandamano yamesharatibiwa vizuri na CCM ndo maana akapeleka watoto wake. Ningemwona shujaa angepeleka watoto kwenye yale maandamno ya UKUTA enzi za JPM.
Mtasema yote mwaka huuMbowe mjanja sana. Alishajua yale maandamano yamesharatibiwa vizuri na CCM ndo maana akapeleka watoto wake. Ningemwona shujaa angepeleka watoto kwenye yale maandamno ya UKUTA enzi za JPM.
Mlipewa umeme, maji, rushwa ilipunguzwa, nidhamu serikalini, mfumuko wa bei kuthibitiwa kama nauli, chakula, mafuta, nishati, mkajengewa vituo vya afya, mashule, masoko, stand za mabasi, vituo vya ndege, watoto wenu wakapewa elimu bure, barabara zikajengwa kwa ajili yenu kufanya shuguli zenu.Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvuila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndo katika yale matatizo matatu ya nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
Ndo akaja na bunge hili la mchongo? Magu aliwafanya cdm maadui hili lilikua kosa kubwa maana maadui ni mbogamboga,Mlipewa umeme, maji, rushwa ilipunguzwa, nidhamu serikalini, mfumuko wa bei kuthibitiwa kama nauli, chakula, mafuta, nishati, mkajengewa vituo vya afya, mashule, masoko, stand za mabasi, vituo vya ndege, watoto wenu wakapewa elimu bure, barabara zikajengwa kwa ajili yenu kufanya shuguli zenu.
Aliambuli nini? Matusi ujuaji na ujinga wa kitoto, kebehi, kejeri, akabadilika hakujali tena maoni yenu.
Hiv Faiza wewe ni Msonjo au Mmahara?Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Makosa mengine aliyafanya alipoona hata afanye nini hawezi kukubalika na upande fulani wa Watanzania.Ndo akaja na bunge hili la mchongo? Magu aliwafanya cdm maadui hili lilikua kosa kubwa maana maadui ni mbogamboga,
Si unaona wanavomsifia mama saivi kuwa anaifungua nchi, ilifungwa? Kama ilifungwa nani aliifunga? Anaupiga mwingi?
Unataka kuanza ubaguzi?Hiv Faiza wewe ni Msonjo au Mmahara?
Ningewashikilia cdm mkuuMakosa mengine aliyafanya alipoona hata afanye nini hawezi kukubalika na upande fulani wa Watanzania.
Uchaguzi wa pili 2020 aliamua awe dikteta kamili. Akiamini atamaliza miaka mitano. Ataivusha nchi awaachie nchi yenu.
Of course hakuwa malaika ila wewe ungefanyaje?
Jamii yetu inabadilika taratibu, Kuna nyakati zinakuja wataelewa haki zao na wajibu wao kwa nchi hii.Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti juu ya hizo changamoto anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
Ww ndio unahofia hao wachaga, Mimi nawaona wa kawaida sana.Apewe hazina mchaga?
Wacha vichekesho.
Mrembo,Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Kule pasua kichwa,napitia pitia tu. Huku ndiyo jukwaa langu.Mrembo,
Wewe kapige kambi kule MMU, huku huwezi
Ufalme ni mfumo ambao upo kila mahali, hata nyumbani wababa huzani wao ndio wafalme hakuna wakuwaambia kitu...Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] natamani nikuone jukwaan kwa muda mrefu Sana [emoji38]Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Nipo, kila siku mara tatu.[emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23] natamani nikuone jukwaan kwa muda mrefu Sana [emoji38]