Ushasema "hudhani". Niongeze nini tena?Ufalme ni mfumo ambao upo kila mahali, hata nyumbani wababa huzani wao ndio wafalme hakuna wakuwaambia kitu...
Chadema kuongozwa na Mbowe hakuna tofauti ya raisi wa nchi na kuwa mwenyekiti wa chama.
Ustadhi, nakubaliana na wewe hadharani kuwa kero yao ya msingi ili kuonesha kuwa kweli wanaamini wanachosema imewashinda kuitatua!! Demokrasia katika chama ni tofauti kabisa na chama cha kifalme!Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Nani atamrithi mbowe?Bibi kizee wa kwanza mj* nga mjinga
Kugoma kuandamana sio suluhisho la matatizo yanayoikabili nchi. Ni jukumu lako kuwatoa Hawa wajinga kutoka kwenye ujinga wao ili waweze kuwakabili wale wanaoneemeka na ujinga wao!Hii ndo sababu ya mimi kugoma kuandamana
Acha unafiki mtoto wa mama ππππ₯± Maana ndio ulikuwa unaongea upuuzi wa kiwango Cha hatari kabla ya maandamano.
Bila shaka wapinzani walio imara pia umewaona. Hao ndio wa kuthaminishwa. Hao ndio huleta mabadiliko - kama kina Mandela, Nkrumah, Lumumba, Nyerere, n.k.Pamoja na hayo..naamini asilimia 95% ya wapinzani sio good faith actors.case and point angalia hama hama zao...Wana shida zao kama Mimi na ww,at the end of the day they won't care about the collective if their individual needs are met.
Walikusamya kodi? Au ulitaka watatue kero kivipi? Ccm kodi mnapeleka wapi?Hao chadomo miaka yote hatujaona wakitatuwa kero hata moja kwenye majimbo yao.
Kero ya ndani ya chama ya kuwa chama cha kifalme haijatatuliwa.
Unaona vyema kutawaliwa na dikteta, chuma? Ndio aina bora ya uongozi? Yaani uchaguzi ni kati ya kutawaliwa na ama kiongozi mstaarabu lakini dhaifu ama dikteta anayedhibiti ufisadi - wa wengine isipokuwa wake tu?Wote, hata wewe ni mnafiki mkubwa. Upo zaidi kwa tumbo lako.
Kikitokea chuma kikaweka mambo yote sawa unayoyalilia leo, sasa hivi utatafuta sababu zingine kumtukana na kumpinga. Kama ni mshamba, mkabila, kiingereza chake anasema front fed, nguo zake, sio dikteka kamili, sio Mtanzania.
Akiwa dikteta kamili. Mtalia huyu ni bonge la dikteta. Mungu tusaidie. Mnatafuta kiongozi gani?
Unaona vyema kutawaliwa na dikteta, chuma? Ndio aina bora ya uongozi? Yaani uchaguzi ni kati ya kutawaliwa na ama kiongozi mstaarabu lakini dhaifu
Hatuwezi kupigania tuweze kuchagua kiongozi mstaarabu mwenye uwezo wa kusimamia ufanisi, weledi, na kudhibiti ufisadi kama nchi makini iliyostaarabika?
Unaona vyema kutawaliwa na dikteta, chuma? Ndio aina bora ya uongozi? Yaani uchaguzi ni kati ya kutawaliwa na ama kiongozi mstaarabu lakini dhaifu ama dikteta anayedhibiti ufisadi - wa wengine isipokuwa wake tu?
... WATU WENGI HUWA HAWAJUI KUWA SIASA NI 'GAME OF CHANCE &TIMING' ... YAANI HUWA WANAFIKIRI NI KITU CHA "KWELI KABISA!"Wewe ni nani alikufata akakuomba umpiganie??
Watu mnajipa umuhimu aisee, hata mwenyekiti alieanzisha maandamano sidhani kama ana ego kiasi hicho.
Eti kachoka kuwapigania watz, jamaa jau sana huyu.... WATU WENGI HUWA HAWAJUI KUWA SIASA NI 'GAME OF CHANCE &TIMING' ... YAANI HUWA WANAFIKIRI NI KITU CHA "KWELI KABISA!"
π
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza halafu muda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndio tabia ya watanzania wengi.[emoji419][emoji375]Jana kulikua na maandamano ya chadema yalikuwa yanalenga kuaddress kero tofauti tofauti na ilikua ni hiyari na sio lazima.
Mimi binafsi sikuandamana sababu watanzania ni wanafki na kumpigania mtu mpumbavu kama Mtanzania ni kupoteza muda na nguvu ila ila kamwe siwezi wabeza waliondomana kwa namna yeyote ile.
Ila ajabu kuna watu wanawabeza chadema mara hawakua na watu wengi walikua wachache, bodaboda walikua wachache na maneno mengine ya kashfa.
Ila watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforums wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza halafu muda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndio tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serikali.
- Ubovu wa miundombinu
Hata kwenye maisha ya kawaida unaweza ukawa unampigania sana mtu ila akienda upande wa pili anakuponda vibaya mno.
Ndio katika yale matatizo matatu ya Nyerere aliyoyasema ujinga, umaskini na maradhi inatakiwa liongezeke la nne unafki
... TIMING WALIIKOSEA! ... yaani kama wangepambana na Mzee Magu kama Raila alivyolianzisha na Ruto tungeona KWELI! ... HIT THE IRON WHILE STILL RED HOT!Eti kachoka kuwapigania watz, jamaa jau sana huyu.
Kimsingi tuna serikali ya hovyo snIla watu hao hao wanaobeza maandamano ya jana utawakuata kwenye nyuzi nyingine hapa hapa jamiiforum wanailalamikia serekali
Ajabu ikitokea mtu anapaza sauti juu ya hizo changamoto anambeza alafu mda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndo tabia ya watanzania wengi.
- Kukatika umeme ovyo
- Bidhaa zinapanda bei hovyo,
- mara huduma kwenye ofisi za serekali zimekua mbovu,
- mara kuna upendeleo wa ajira kwenye baadhi ya taasisi za serekali.
- Ubovu wa miundombinu
Na muda mwingine sio unafiki tu ni uwezo mdogo kichwani tuAjabu ikitokea mtu anapaza sauti anambeza halafu muda huo huo analalamika ugumu wa maisha hii inaonyesha ni jinsi gani alivyokua mnafki na hii ndio tabia ya watanzania wengi.[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app