Blue Bahari
JF-Expert Member
- Aug 21, 2016
- 1,851
- 2,171
Kazi ya hicho kipato Ni kwa ajili ya nini. Kukodolea macho?
Kuongeza kipato chako ni maendeleo na si kujenga nyumba. Hata nchi inachukuliwa imeendelea kama kipato chake kimeongezeka.
Nyumba ni liability kwa context ya ulaya; kwa Tanzania ni asset; tena ni asset kubwa sana.Nyumba ni Liability kama ndoto zako ni kumiliki nyumba kwaajili ya kuishi amka amka kumekucha....
Sikuhz tunajenga nyumba alafu tunaifanya ya biashara/ nunua viwanja weka kama assets sio kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi matajiri sikuhz tunaishi kwenye apartments na nyumba zako unapangisha 😁
Anza kujenga ndo utaelewa ni liability... ujenzi hauishii mpaka mjukuu wako ataendelea kuijenga nyumba yako kipindi hko inaitwa nyumba ya familia 😂Nyumba ni liability kwa context ya ulaya; kwa Tanzania ni asset; tena ni asset kubwa sana.
Umeniotea leo bado sijala vitu vyangu 😆!Blood akili kubwa 👊
Nyumba yenyewe unajenga miaka kumi na ushee na unaishia kuhamia haijakamilika.Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Leo hujala vitu vyako..... Usinisahau dogo lako hapa.... Maake ukizama unaibuka kesho 😂😂👊Umeniotea leo bado sijala vitu vyangu 😆!
👊🏾👊🏾👊🏾
Shida watanzania wengi Kayosaki Anatuharibu. Nyumba ni asset ndugu yangu; interns of investment…. A good or bad asset ni perspective tu; soma kidogo hapa pia:Anza kujenga ndo utaelewa ni liability... ujenzi hauishii mpaka mjukuu wako ataendelea kuijenga nyumba yako kipindi hko inaitwa nyumba ya familia 😂
Emb nipe mfano wa nyumba ambayo thamani yake imepanda mfano umejenga nyumba mwaka 2000 sasahv thamani yake ni kubwa 2025 ila kiwanja cha 2000 sio sawa na cha 2025 valueShida watanzania wengi Kayosaki Anatuharibu. Nyumba ni asset ndugu yangu; interns of investment…. A good or bad asset ni perspective tu; soma kidogo hapa pia:
Tujifunze kudigest vitu vilivyo kwenye contexts zetu; mambo mengi Bado ni conventional ndugu yangu.Anza kujenga ndo utaelewa ni liability... ujenzi hauishii mpaka mjukuu wako ataendelea kuijenga nyumba yako kipindi hko inaitwa nyumba ya familia 😂
so what you imply is renting a house for you is an investment while owning your own house becomes a Liability??? You need to be serious???Emb ni
Emb nipe mfano wa nyumba ambayo thamani yake imepanda mfano umejenga nyumba mwaka 2000 sasahv thamani yake ni kubwa 2025 ila kiwanja cha 2000 sio sawa na cha 2025 value
A home does not generate assets since you have to pay payments, taxes and maintenance on them so therefore it is a liability.
Asante kwa kunielewa 😁 that’s my point tatzo lako ni kutokusoma kwa makini... jenga nyumba pangisha usijenge nyumba ili uishi humo hyo ni liability nenda kakae apartment nunua viwanja fanya assets hapo umenielewaTujifunze kudigest vitu vilivyo kwenye contexts zetu; mambo mengi Bado ni conventional ndugu yangu.
Mfano ili upate Mkopo wa Biashara Bado banks zinahitaji Collateral na Mara nyingi ni Nyumba; halafu wewe unasema Nyumba ni Liability??
Hapa Tanzania Ardhi na Nyumba Zina appreciate over time from time to time; halafu useme ni liability???
Kwa Mfano Dar, Nyumba yenye vyumba 3 (inayojitegemea) ni laki 3 hadi 5, Kama ni laki 5 per year ni 6M ukirent kwa miaka 7 ni 42M (bila ku include costs za inflation na appreciation), then Nyumba yako ya 70M msomi mmoja anakuambia ni liability?? Come on….
No no no; ninamaanisha kujenga na kuishi kwenye hiyo nyumba. soma na kuelewa; hiyo nimefanya comparison tu Kati ya costs za kujenga na kupanga. (Kupanga costs ni kubwa)Asante kwa kunielewa 😁 that’s my point tatzo lako ni kutokusoma kwa makini... jenga nyumba pangisha usijenge nyumba ili uishi humo hyo ni liability nenda kakae apartment nunua viwanja fanya assets hapo umenielewa
Usitegemee ujenge nyumba ya Millions 30 kwaajili ya wew kuishi na hyo hela ikarudi hairudi ng’oso what you imply is renting a house for you is an investment while owning your own house becomes a Liability??? You need to be serious???
Tatizo ni kulazimisha kila mtu aishi maisha unayo ishi ww bila kujua kuwa kila mtu ana ana tafisri yake kuhusu Maendeleo na kile kinacho mpa furaha.Asante kwa kunielewa 😁 that’s my point tatzo lako ni kutokusoma kwa makini... jenga nyumba pangisha usijenge nyumba ili uishi humo hyo ni liability nenda kakae apartment nunua viwanja fanya assets hapo umenielewa
Ni vitabu vya kayosaki vinawaharibu vijana; halafu anayekuambia nyumba ya kuishi ni liability yeye anamiliki gari ya kutembelea😂😂😂Tatizo ni kulazimisha kila mtu aishi maisha unayo ishi ww bila kujua kuwa kila mtu ana ana tafisri yake kuhusu Maendeleo na kile kinacho mpa furaha.
Basi kama ndo hvyo bado unajichanganya me point yangu ipo hapo kwa huyo aliye kupangisha wewe ukapata hesabu ya 47 kwa miaka 7 angeishi yeye hyo pesa asingeipata hapo umenielewa?No no no; ninamaanisha kujenga na kuishi kwenye hiyo nyumba. soma na kuelewa; hiyo nimefanya comparison tu Kati ya costs za kujenga na kupanga. (Kupanga costs ni kubwa)
Mimi ninaamini nyumba ya Kuishi kwa context ya Africa ni asset kwa hoja nilizozieleza hapo.
Kwani ukirent sehemu ya kuishi hiyo hela inarudi? Kimsingi ni consumption tena ni once and for all; wakati nyumba ya kuishi una consume na unaretain ownership of the asset..Usitegemee ujenge nyumba ya Millions 30 kwaajili ya wew kuishi na hyo hela ikarudi hairudi ng’o
Piga hesabu zote; Tusidanganyane - Nyumba ya kuishi ni asset; zingine story tu.Basi kama ndo hvyo bado unajichanganya me point yangu ipo hapo kwa huyo aliye kupangisha wewe ukapata hesabu ya 47 kwa miaka 7 angeishi yeye hyo pesa asingeipata hapo umenielewa?
Kabisa boss,Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.