Ni vitabu vya kayosaki vinawaharibu vijana; halafu anayekuambia nyumba ya kuishi ni liability yeye anamiliki gari ya kutembelea๐๐๐
Jenga nyumba pangisha hyo Ndo point..Kwani ukirent sehemu ya kuishi hiyo hela inarudi? Kimsingi ni consumption tena ni once and for all; wakati nyumba ya kuishi una consume na unaretain ownership of the asset..
Pesa ya maintenance inatoka wapi?Piga hesabu zote; Tusidanganyane - Nyumba ya kuishi ni asset; zingine story tu.
Pesa ya kuvuta umeme unaitoa wapi? Luku? Alafu unasema sio liability au utakaa bila kufanya marekebisho bila umeme bila maji hzo pesa zinarudi vipi?Piga hesabu zote; Tusidanganyane - Nyumba ya kuishi ni asset; zingine story tu.
So kitu Kitu kikiwa na expenses, maana yake ni liability?Pesa ya kuvuta umeme unaitoa wapi? Luku? Alafu unasema sio liability au utakaa bila kufanya marekebisho bila umeme bila maji hzo pesa zinarudi vipi?
Kwani kuvuta umeme Au Kuingiza maji sio sehemu ya gharama za ujenzi??? Kwan gharama za luku na bills za maji Kama ukirent haulipi????Pesa ya kuvuta umeme unaitoa wapi? Luku? Alafu unasema sio liability au utakaa bila kufanya marekebisho bila umeme bila maji hzo pesa zinarudi vipi?
Kwa hiyo hiyo hela unayo enda kupangisha kwenye apartmentUsitegemee ujenge nyumba ya Millions 30 kwaajili ya wew kuishi na hyo hela ikarudi hairudi ngโo
Sio vitu tu hata Demu wako akiwa kichwa wazi huyo ni liability..So kitu Kitu kikiwa na expenses, maana yake ni liability
Jibu swali hizo gharama zinarudi vipi? Okay nimepanga chumba cha 30 per month Lkn naingiza faida 100k per month hzo expenses za chumba ninacho ishi ni sehem ya biashara hyo faida ya ziada kanunue viwanjaKwani kuvuta umeme Au Kuingiza maji sio sehemu ya gharama za ujenzi??? Kwan gharama za luku na bills za maji Kama ukirent haulipi????
Kwa hiyo ww ukipanga hutolipa luku,maji,hutokula,ukiumwa hutolipia matibabu,hutovaa, maana hivyo vyote vinahitaji pesa ambayo haitarudi.Pesa ya kuvuta umeme unaitoa wapi? Luku? Alafu unasema sio liability au utakaa bila kufanya marekebisho bila umeme bila maji hzo pesa zinarudi vipi?
Wengi kiasi gani na kwa utafiti upi?Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Nyumba sio hitaji la muhimu sio kila mtu ana nyumba... appartment unalipa hela ndogo sana na hela unayolipa unaweza kuiingiza mara mbili zaidi kwa siku moja.. Kwan ulaya hamna ardhi ya kujenga???Kwa hiyo hiyo hela unayo enda kupangisha kwenye apartment
kila mwaka itarudi?
Nyumba ni hitaji la muhimu kwa kila binadamu ila kwa sababu ya umasikini ndo maana unaona kujenga nyumba ni anasa.
Alafu hii hoja yenu ya sijui Ulaya watu hawajengi bali wana panga ni hoja ya kipumbavu kwa sababu hapa sio Ulaya bali ni Africa.
Wew vipi mbona haufikiriii ๐Kwa hiyo ww ukipanga hutolipa luku,maji,hutokula,ukiumwa hutolipia matibabu,hutovaa, maana hivyo vyote vinahitaji pesa ambayo haitarudi.
Na kingine ambacho hajui ni kuwa real estate business sio Biashara inayolipa sana hususani hapa Tanzania; data zote zinaonesha ni Biashara iliyo stagnant kwa sababu ya nature ya Biashara yenyewe. Ukijengq nyumba ya kupangisha inavyotakiwa, obviously itaatract higher rent costs normally per Sqm ambazo wa bongo wengi hawawezi kulipa. Lakini pia unatakiwa kuzingatia vitu vingi basic, Mfano accessibility (roads nk) power back up, security, water tanks, nkKwa hiyo ww ukipanga hutolipa luku,maji,hutokula,ukiumwa hutolipia matibabu,hutovaa, maana hivyo vyote vinahitaji pesa ambayo haitarudi.
Nyumba sio hitaji la muhimu sio kila mtu ana nyumba... appartment unalipa hela ndogo sana na hela unayolipa unaweza kuiingiza mara mbili zaidi kwa siku moja.. Kwan ulaya hamna ardhi ya kujenga???
Google imekuchanganya tayari njoo Kigamboni jenga self tatu tu, chumba kimoja selfu ni 100k vyumba vitatu ni 300k sasa usinambie ujenge chumba jiko na sitting room mara Tatu moja tu ni 250kNa kingine ambacho hajui ni kuwa real estate business sio Biashara inayolipa sana hususani hapa Tanzania; data zote zinaonesha ni Biashara iliyo stagnant kwa sababu ya nature ya Biashara yenyewe. Ukijengq nyumba ya kupangisha inavyotakiwa, obviously itaatract higher rent costs normally per Sqm ambazo wa bongo wengi hawawezi kulipa. Lakini pia unatakiwa kuzingatia vitu vingi basic, Mfano accessibility (roads nk) power back up, security, water tanks, nk
Sasa Ndiyo Mbongo anajidanganya atatumia 40M yake kujenga nyumba ya kupangisha.
Nenda Dodoma kuanzia maili mbili mpaka maeneo ya veyula vyumba vinatafutwa kama Almas.. chumba hakina umeme single 40k na ukitaka marekebisho unatengeneza kwa hela yakoNa kingine ambacho hajui ni kuwa real estate business sio Biashara inayolipa sana hususani hapa Tanzania; data zote zinaonesha ni Biashara iliyo stagnant kwa sababu ya nature ya Biashara yenyewe. Ukijengq nyumba ya kupangisha inavyotakiwa, obviously itaatract higher rent costs normally per Sqm ambazo wa bongo wengi hawawezi kulipa. Lakini pia unatakiwa kuzingatia vitu vingi basic, Mfano accessibility (roads nk) power back up, security, water tanks, nk
Sasa Ndiyo Mbongo anajidanganya atatumia 40M yake kujenga nyumba ya kupangisha.
Nyumba sio hitaji muhimu kwa maoni yako ww na si kwa wengine.Nyumba sio hitaji la muhimu sio kila mtu ana nyumba... appartment unalipa hela ndogo sana na hela unayolipa unaweza kuiingiza mara mbili zaidi kwa siku moja.. Kwan ulaya hamna ardhi ya kujenga???
Unge-tutafsiria kwa kisukuma ili tuelewe mnaongelea nini, ili kama nasi tunaweza kuchangia tumbaku zetu au mnataka ruby pekee.Watu wenye akili za kitajiri wanatumia pesa kuongeza pesa, Akili ya kimasikini anatumia pesa kuonekana ana pesa.
Mfano hawa watu wawili wanaweza fanya kazi kwenye kampuni moja wote wakachukua mshahara wa laki5.
Mwenye akili ya kimasikini atakimbilia appartment, TV, sofa kali, Simu kali, Mavazi classic ili wengine wamuone anazo na ndiyo utakua mfumo wake forever.
Mwenye akili ya kitajiri atakimbilia kuwekeza aidha kilimo, ufugaji au biashara hata kama biashara ndogondogo huku akiamini siku1 atanunua kila anachokitamani bila kuathiri kipato.
View attachment 3190843