TrueTunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
SureWengi tunajenga kujisitiri!!!
Nashangaa. Na hizo apartments anajua rent yake ya mwezi? Hapa jirani kuna apartments kodi 1m kwa mwezi, umeme na maji juu yako. Sasa hiyo nyumba utakayojenga upangishe kwa 1 au 3 m ni wapi huko zaidi ya prime areas ambazo kiwanja tu kinaanzia 70m. Si bora ujenge uushi humo then hela za kodi ya mwezi uwekeze kwingine.Kwa hiyo hiyo hela unayo enda kupangisha kwenye apartment
kila mwaka itarudi?
Nyumba ni hitaji la muhimu kwa kila binadamu ila kwa sababu ya umasikini ndo maana unaona kujenga nyumba ni anasa.
Alafu hii hoja yenu ya sijui Ulaya watu hawajengi bali wana panga ni hoja ya kipumbavu kwa sababu hapa sio Ulaya bali ni Africa.
Ulaya kwenyewe kumiliki apartment ni jambo muhimu kwa walio wengi. Nafanya kazi nao Tz na wengi wana save na kwenda kununua apartment kwao huko.Akh hapo sasa unajikanyaga umesema nyumba ni hitaji la muhimu kwa kila mtu hapo hapo umesema tusifananishe ulaya na Africa kwasabab ulaya wameendelea hawana haja ya kujenga... unajivururunganya tena 😅 unasema kutokuwa na mawazo ya kujenga ni umasikini..
Imebidi tu niattack majibu yako sababu hauijui point yako ni nini 😀
Kawaulize wazungu wa Ulaya na Marekani kama kujenga nyumba siyo maendeleo, watakupatia majibu sahihi kabisa.Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Sasa boss kama nimepanga hiyo kodi mwenye nyumba ananirudisha mwisho wa mwaka?Usitegemee ujenge nyumba ya Millions 30 kwaajili ya wew kuishi na hyo hela ikarudi hairudi ng’o
Akukujibu unitagSasa boss kama nimepanga hiyo kodi mwenye nyumba ananirudisha mwisho wa mwaka?
Tunapambana kutafuta hela hekeheka za kufa mtu, halafu mtu huyu akishajenga nyumba ya kuishi anaona amemaliza ndoto yake aliyokuwa anaipigania anapunguza mapambano.
Hapo yeye anatafuta hela ya kula tu basi. Niwakumbushe kujenga si maendeleo bali ni hitaji la lazima tupambane zaidi tupate maendeleo.
Naomba unielekeze wewe.mi uelewa wangu kujenga nyumba1 ni hitaji la lazima si maendeleo.maendeleo ni kuwa na zaidi ya nyumba moja,hata pikipiki ukinunuwa ya pili hayo ni maendeleo.Kawaulize wazungu wa Ulaya na Marekani kama kujenga nyumba siyo maendeleo, watakupatia majibu sahihi kabisa.
DahWanatembea vifua mbele sababu anakaa kwenye ghorofa alilojenga 😂 😂 😂 😂
Ndiyo mwisho wa stori.yani mtu unajenga nyumba vymba3 unaona umemaliza hujikiti tena kutafuta zaidi uwekeze hii hapana aiseeBinafsi nawaunga mkono wooote waliojipatia makazi ya kudumu na wanaweza kupata pesa ya kula hivyo wanakula, wanalala na kufanya ngono kama ng'ombe tu wakisubiri kufa maana hakuna namna.
Mkuu, sio kila mtu humu duniani anaendekeza uwekezaji.Ndiyo mwisho wa stori.yani mtu unajenga nyumba vymba3 unaona umemaliza hujikiti tena kutafuta zaidi uwekeze hii hapana aisee
Upo sahihi.Naomba unielekeze wewe.mi uelewa wangu kujenga nyumba1 ni hitaji la lazima si maendeleo.maendeleo ni kuwa na zaidi ya nyumba moja,hata pikipiki ukinunuwa ya pili hayo ni maendeleo.
Tunazungumzia hapa mtu kajenga vyumba4 anajisahau.Huko kuwa na apartments ni maendeleo makubwa hayo.Ulaya kwenyewe kumiliki apartment ni jambo muhimu kwa walio wengi. Nafanya kazi nao Tz na wengi wana save na kwenda kununua apartment kwao huko.
Dah ngono tena🙆Mkuu, sio kila mtu humu duniani anaendekeza uwekezaji.
Tembelea pwani na Tanga ukutane na wazee wavaa misuli walioridhika na maisha.
Kwao, maisha ni Afya, chakula, makazi na ngono, wanaona nyinyi mnaohangaika na magorofa hamjui kwanini tupo hai.
Kibongo bongo real estate inayolipa kama unataka faida ni commercial real estate,Google imekuchanganya tayari njoo Kigamboni jenga self tatu tu, chumba kimoja selfu ni 100k vyumba vitatu ni 300k sasa usinambie ujenge chumba jiko na sitting room mara Tatu moja tu ni 250k
Ndo hivyo boss.Dah ngono tena🙆