Blood of Jesus
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 4,486
- 8,098
wapo wengi tu. wapo ambao mababu zao walishafanyakazi wamewaachia utajiri., wapo walionunua Shea kwenye makampuni, wapo vilema/viwete- , wagonjwa wa kudunu-[yaani wasiojiweza,] wapo wale wanaolipwa na serikali zao fedha za kujikimu (wale ma jobless- hasa nchi zilizoendelea,) ...Mtu hafanyi kazi? yaani analala alafu anaishi?labda anainvestment au sijaelewa
Hakuna ambae hafanyi kazi duniani .ombaomba anafanya kazi ya kutembea kuomba ,waliorithi utajiri wanafanya kazi kuhakikisha wana manage utajiri (family offices) . hata wanaolipwa na serikali jobless wanafanya kazi za hapa na pale.wapo wengi tu. wapo ambao mababu zao walishafanyakazi wamewaachia utajiri., wapo walionunua Shea kwenye makampuni, wapo vilema/viwete- , wagonjwa wa kudunu-[yaani wasiojiweza,] wapo wale wanaolipwa na serikali zao fedha za kujikimu (wale ma jobless- hasa nchi zilizoendelea,) ...
Hapo kwa apartment unaishi bure??, kama jibu ni hapana kwa nini usiishi kwenye nyumba yako uliyojijengea?Nyumba ni Liability kama ndoto zako ni kumiliki nyumba kwaajili ya kuishi amka amka kumekucha....
Sikuhz tunajenga nyumba alafu tunaifanya ya biashara/ nunua viwanja weka kama assets sio kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi matajiri sikuhz tunaishi kwenye apartments na nyumba zako unapangisha 😁
Hafanyi kazi anaishi vizuri🙆watu wote unaowafahanu, wanafanya kazi? Hawaishi???
Mimi ninawafahamu watu kibao hawafanyi kazi na wanaishi vizuri santu hafanyi kazi? yaani analala alafu anaishi?labda anainvestment au sijaelewa
Kujenga nyumba1 si kupoteza meelekeo.Bali kujenga nyumba moja ni hitaji muhimu si mwendelezo.Hapo kwa apartment unaishi bure??, kama jibu ni hapana kwa nini usiishi kwenye nyumba yako uliyojijengea?
Unataka kuwafanyq watu waamini kuwa kujitengenezea makazi yako kwa ajili yako na familia ni kupoteza mwelekeo?
Kumbe unapambana kujenga zaidi hapo sawaUshajenga mkuu?
Kujenga kunapunguza vitu vingi sana japo kama wewe ni under 30yrs tumia hio hela kuzalisha kama ni over 40 hilo ni jambo la msingi sana. jenga mapema
Mimi nipo katikati ya 30-40 ,ni kujenga vi appartment 2 bedroom namimi najioangisha hapo.dream house ntajenga badae
Utofauti ni mwamba mi siamini kujenga nyumba moja na kurelax ni maendeleo,bali kuendelea kutafuta hela unafanya vitu tofauti zaidi ndiyo maendeleo.Tuonyeshe utofauti wako wewe
Hao hawatakuwa wamekosea bali wametimiza hitaji muhimu.Zipo familia zinateseka na kudhalilika sababu ya kuishi familia kubwa vyumba viwili au kimoja cha kupanga kutokana na ukosefu wa kipato. Watu wa aina hii wakipata pesa na kujenga nyumba watatue changamoto hii watakuwa wamekosea?