Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

Watanzania wengi wakishajenga nyumba ya kuishi wanaona wamemaliza ndoto

Mtu hafanyi kazi? yaani analala alafu anaishi?labda anainvestment au sijaelewa
wapo wengi tu. wapo ambao mababu zao walishafanyakazi wamewaachia utajiri., wapo walionunua Shea kwenye makampuni, wapo vilema/viwete- , wagonjwa wa kudunu-[yaani wasiojiweza,] wapo wale wanaolipwa na serikali zao fedha za kujikimu (wale ma jobless- hasa nchi zilizoendelea,) ...
 
Hakuna ambae hafanyi kazi duniani .ombaomba anafanya kazi ya kutembea kuomba ,waliorithi utajiri wanafanya kazi kuhakikisha wana manage utajiri (family offices) . hata wanaolipwa na serikali jobless wanafanya kazi za hapa na pale.

Kama unazungumzia jobless na wagonjwa sawa . ila no one is workless .
 
Nyumba ni Liability kama ndoto zako ni kumiliki nyumba kwaajili ya kuishi amka amka kumekucha....

Sikuhz tunajenga nyumba alafu tunaifanya ya biashara/ nunua viwanja weka kama assets sio kwaajili ya kujenga nyumba ya kuishi matajiri sikuhz tunaishi kwenye apartments na nyumba zako unapangisha 😁
Hapo kwa apartment unaishi bure??, kama jibu ni hapana kwa nini usiishi kwenye nyumba yako uliyojijengea?

Unataka kuwafanyq watu waamini kuwa kujitengenezea makazi yako kwa ajili yako na familia ni kupoteza mwelekeo?
 
Kujenga nyumba1 si kupoteza meelekeo.Bali kujenga nyumba moja ni hitaji muhimu si mwendelezo.
 
Kumbe
Ushajenga mkuu?
Kujenga kunapunguza vitu vingi sana japo kama wewe ni under 30yrs tumia hio hela kuzalisha kama ni over 40 hilo ni jambo la msingi sana. jenga mapema

Mimi nipo katikati ya 30-40 ,ni kujenga vi appartment 2 bedroom namimi najioangisha hapo.dream house ntajenga badae
Kumbe unapambana kujenga zaidi hapo sawa
 
Nyumba zenyewe mnajenga hamshirikishi wataalamu wa michoro nyumba zinajengwa na mafundi maiko hazivutii hazina chochote cha maana ukiziweka sokoni ni kilio tu hahaahaha.Nyumba nyingi bei ya kuuza ni ndo kuliko pesa iliyotumika kuzijenga.

Nyumba nyingi ni mabanda yaliyofanyiwa finishing na kupanyikwa majina ya nyumba za makazi ila ni subsrandard.Unakuta nyumba imejengwa bila kuangalia mambo muhimu kama uelekeo wa jua na uelekeo wa upepo unapovuma hii inakuja kuwakost watu watakaoishi humo ndani.
 
Back
Top Bottom