Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..
Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...
bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..
na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.
unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?
Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒
Mungu Ibariki Tanzania