Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SiyeHivi huyu ndo yule Nchimbi ambae hakutokea kwenye mahojiano ya Odemba hadi Odemba akaangusha kilio mbele ya kadamnasi?
Huu utafiti umeufanya lini? Tunaomba data.huu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..
Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...
bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..
na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.
unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?
Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
Aristotle aliwahi kusema ikiwa unajiona wewe ni bora zaidi wengine na ukaamua kujitenga na kupuuzia masuala ya uongozi wa kisiasa...,Ndio, zile siasa tu hakuna jipya.
Ana busarahuu ni mwanzo mzuri kwa katibu mkuu wa CCM Dr. Emanuel Nchimbi baada ya maelezo yake yaliojaa hisia kali za uchungu, huruma ya kibinadamu na kukasirishwa na vitendo vya utekaji hususani dhidi ya utekaji na mauaji ya kikatili ya kamanda Ally Mohamed kibao kiongozi mwandamizi wa chadema..
Lakini pia ufafanuzi, msisitizo na maagizo yake kwa vyombo vya ulinzi na usalama dhidi ya kutekeleza maelekezo ya rais kuhusu uchunguzi wa haraka dhidi ya ukatili huo, na wito wake wa kiungwana sana kwa Chama, serikali na wananchi dhidi ya matukio hayo...
bila kujali vyama vyao vya kisiasa wengi wa waTanzani kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii, vyombo vya habari, kwenye mikusanyiko mbalimbali wamevutiwa na namna kutibu Mkuu huyu wa CCM alivyolichukulia Jambo hili la utekaji kwa uzito unaostahili..
na maoni ya wengi ni kwamba Dr Emanueli Nchimbi anafaa zaidi kushika hatamu za uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan kuhitimisha ngwe yake ya pili 2030.
unadhani ni kwanini waTanzania katika umoja wao bila kujali itikadi za vyama vyao na misimamo yao ya kisiasa, wametokea kumkubalia, kumuamini na kudhani kwamba kiongozi huyu ni muafaka sana kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi baada ya Dr Samia Suluhu Hassan atakapokamilisha ngwe yake ya pili uongozini kikatiba 2030?
Friends, ladies and gentlemen,
mmebadili mawazo ama tupo pamoja na SG Dr Emanuel Nchimbi sako kwa bako kuanzia 2030 na kuendelea?🐒
Mungu Ibariki Tanzania
gentleman,Unataka kumwingiza mwenzako kwenye vita ambavyo havina macho...Mwache afanye kazi yake ya Sasa Kwa ufanisi...
Wadau humu wana vichwa vyepesi mno boss. Hii imeeleweka kwa urahisi mno.elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau gentleman 🐒
Kwetu wananchi wa Kawaida, rangi ya Shati au mlango anakotokea si hoja. Akiwa na dhamira na ushupavu kama yeye alivyo na msimamo usioyumba kwa mambo anayoamini, anaweza kufaa na kutosha kwenye Viatu Kuna watu ndani ya hicho Kikundi ambao wametoka humo na wakawa Viongozi wazuri tu na wazalendo. Mimi kwangu Sifa ya kwanza ni Uzalendo na Ujasiri regardless anatokea mlango up au rangi gani ya Vazi lake. Tatizo la uongozi mbovu hutokana na mwenye kushikilia Usukani siyo Chama wala rangi ya vazi lake. Mungu akipenda 2030 amuongoze afikie Ndoto hiyo. Kuna mengi tunaweza kubadilisha yale ambayo tayari yanaonekana kuharibika , ingawa Mzee yule hajaona kama tumefikia hapo. Katiba ya JMT inatoa nafasi kwa Kila Mtanzania Kuchagua na Kuchaguliwa !elezea kwa kina kifupi kidogo kwa faida ya wadau 🐒
uko sahihi gentleman,Ndani ya CCM presidential materials wapo zaidi ya Mia, 2030 Samia akistaafu kila mwanaccm ataruhusiwa kuomba akiwemo nchimbi pia.
Ila Pia kwa Nafasi yake ya sasa, kila anachoweza kusaidia kushauri na kuelekeza tunatarajia asaidie mambo yasiendelee kuharibika kufikia ile Hatua ya yule Mzee ww kule wanakolima nanasi sana, aliyosema kuwa labda mambo ya kiharibika zaidi hapa Katikati.uko sahihi gentleman 🐒
Walikua wamemuandalia Skadi siyo?kwenye ule ushirikina aloandaliwa sio gentleman? 🐒
ni muhimu sana kwenye mabandiko ya kitaalamu na ya kibobevu kama haya,Unamaanisha SSH HATOGOMBEA 2025?
Mambo mengi huwa yanatokana na uwezo au udhaifu wa muhusika as an individual maana anakuwa na Power zote anazohitaji ktekeleza agenda anazoamini kuwa ni sahihi na zitafikisha Taifa kule anakotamani. Kama hana Vision ya nini anataka na wapi twende, basi hapo ndipo tunaona kuwa Chama husika ni kibovu. Katiba na Ilani za Vyama vingi ukizisoma huwa ni nzuri na zinaonyesha mwelekeo mzuri kama ungekuwa unatekelezwa. Tatizo ni Yule anayekuwa amevishwa Kofia . Wengine hawashauriki au wakishashika Nafasi husika hudhania wao wanajua Kila kitu na ni best brain than everybody. Na hapo ndipo tunajikuta katika hali tusiyotarajia na kukatishwa tamaa. Siyo kila mmoja anaweza kuvaa Viatu hivyo, lazima tuwe wa kweli. Greater Leaders are Born Leaders, not made.CCM wengi kabla ya kushika madaraka huwa waungwana ila akishaapa sio yule tena angalia hata Mama kizimkazi alikuaje angalia na sasa hivi.