rafael mkumbos
Member
- Sep 12, 2024
- 87
- 175
KabisaKama anavaa shati la kijani ni wale wale tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaKama anavaa shati la kijani ni wale wale tu.
Hekima ndo kitu gani? Kupangilia maneno matamu yalojaa unafiki ndani yake ndo hekima?Siasa ni hekima anayo kuliko wengi kwenye siasa za leo. Tumpe maua yake. Huyu anaweza kuiunganisha nchi bila maguvu.
bila shaka ni kijana wake.Naogopa Rafu za ndani kama alivyofanyiwa Gentleman Dr Salim na the so called Mtandao ambao baadae nao ulivurugana na kugeukana. Yule Mzee labda awe ametupisha ni mvurugaji.
Mhe. Dk. Samia ndiye mgombea wa CCM 2025 Mungu akijalia. Hakuna mtu wa kumzuia.🙏🙏🙏Unamaanisha SSH HATOGOMBEA 2025?