Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Pre GE2025 Watanzania wengi wameanza kumfikiria Dr.Emmanuel Nchimbi kwa nafasi ya juu ya uongozi wa nchi tanzania baada ya Dr.Samia, kulikoni?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Siasa ni hekima anayo kuliko wengi kwenye siasa za leo. Tumpe maua yake. Huyu anaweza kuiunganisha nchi bila maguvu.
Hekima ndo kitu gani? Kupangilia maneno matamu yalojaa unafiki ndani yake ndo hekima?
 
Back
Top Bottom