Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
very short and clear,Tunachotafuta sisi wananchi ni kumpata Mtu mweye ujasiri na uthubutu na pia Mzalendo. Mbona JP alifumua mfumo aliposhika Madaraka. Kama Vyama vingine , CCM kama Chama hakijawahi kuwa ni tatizo. tatizo ni Watu wachache waliojimilikisha Chama hicho kutoka mikononi mwa wanachama. Katiba na Sera na Hata Ilani zake zote huwa ni nzuri but those who holds the positions and largely the Top Seat.
Atachukuwa fomu?TUNAENDA NA NCHIMBI 2025
Upumbavu wa hali ya juu!Ndani ya CCM presidential materials wapo zaidi ya Mia, 2030 Samia akistaafu kila mwanaccm ataruhusiwa kuomba akiwemo nchimbi pia.
Mimi nadhani tatizo sugu la nchii lipo kwa wananchi wenyewe ndo maana unaona leo hata viongozi japo hii katiba mbovu lakini hawaifuati na hawawajibishwi kutoka na wananchi wabinafsi na mazuzu kuwa wengi.Mambo mengi huwa yanatokana na uwezo au udhaifu wa muhusika as an individual maana anakuwa na Power zote anazohitaji ktekeleza agenda anazoamini kuwa ni sahihi na zitafikisha Taifa kule anakotamani. Kama hana Vision ya nini anataka na wapi twende, basi hapo ndipo tunaona kuwa Chama husika ni kibovu. Katiba na Ilani za Vyama vingi ukizisoma huwa ni nzuri na zinaonyesha mwelekeo mzuri kama ungekuwa unatekelezwa. Tatizo ni Yule anayekuwa amevishwa Kofia . Wengine hawashauriki au wakishashika Nafasi husika hudhania wao wanajua Kila kitu na ni best brain than everybody. Na hapo ndipo tunajikuta katika hali tusiyotarajia na kukatishwa tamaa. Siyo kila mmoja anaweza kuvaa Viatu hivyo, lazima tuwe wa kweli. Greater Leaders are Born Leaders, not made.
sasa wewe gentleman unachekesha sana dah?🤣Mimi nadhani tatizo sugu la nchii lipo kwa wananchi wenyewe ndo maana unaona leo hata viongozi japo hii katiba mbovu lakini hawaifuati na hawawajibishwi kutoka na wananchi wabinafsi na mazuzu kuwa wengi.
Siku wananchi wakijitambua kwa mtu mmoja mmoja ndio siku tutapata maendeleo. Leo mtu anaamka kitandani hata kutandika hatandiki unadhani huyu mtu anaweza kufanya vipi majukumu makubwa siku akipata ikiwa madogo hawezi.
CCM muache umwagaji damu wa Watanzania kwa kutumia TISS na vyombo vya dola. Na muache kuzuia maandamano ya vyama vingine vya siasa ni ubakaji wa demokrasia.nawaombea mmalize salama Uchaguzi wa nafasi za juu zilizobaki bila umwagaji damu tena,
Mungu awaepushe na hilo na mfanye Uchaguzi kwa amani 🐒
Au sioooKama anavaa shati la kijani ni wale wale tu.
Samia ameweza, anaweza na anatosha wengine wasubiri 2030Upumbavu wa hali ya juu!
Kumbe mna candidates ambao wataweza kuendesha nchi vyema lakini hairisha ustawi wa taifa kwasababu za kipuuzi kama hizo?
Siyo kwamba nasapoti kwasasa kuhusu Nchimbi, lakini unataka asubi miaka mingine mitano kwani ni kijana mdogo ambaye hajakomaa kuweza kugombea?
Wakati Mwangosi anaumwa yeye alikuwa waziri wa Mambo ya ndani halafu Leo tumwamini kirahisiNi hao hao watekaji na wauaji....
Chakushangaza zaidi aliyeleta hii thread ni chawa wa ccm!!!
InasemekanaMiaka michache imebakia ni vema tuanze kutupia jicho huko maana ushabiki wa kuokota watu dakika za lala salama zimeponza Taifa letu hata huku majimboni ni hivyo.
sio Lazima umuue mwezako ili uwe kiongozi. malizeni uchaguzi wa ndani kwa amani 🐒CCM muache umwagaji damu wa Watanzania kwa kutumia TISS na vyombo vya dola. Na muache kuzuia maandamano ya vyama vingine vya siasa ni ubakaji wa demokrasia.