Watanzania wengi wapo slow karibu kwa kila kitu

Watanzania tupo slow kwenye utoaji wa huduma jaman dah! Mhudumu anatanguliza dharau badala ya huduma
 
Avatar yako inaonesha we ni msukuma kabisa tena wa maganzo
 
Kwani
wewe ni mnyarwanda?
 
Watanzania hata tunapokutana tunapoteza dakika kumi mpaka kumi na tano kusalimiana tu.
Utamaduni utamaduni, Ivi bongo umpite mtu bila kumsalimia seriously utakuwa mgeni wa nani

Wazungu wenyewe kwao ni wapweke Kwa sababu hawapendi kujichanganya Wala kujaliana.
 
Utamaduni utamaduni, Ivi bongo umpite mtu bila kumsalimia seriously utakuwa mgeni wa nani

Wazungu wenyewe kwao ni wapweke Kwa sababu hawapendi kujichanganya Wala kujaliana.

Kwanini ufikirie kuwa mgeni wa fulani? Hayo ni mawazo tegemezi.

Siku zote fikiri kujitegemea / kutegemewa siyo kutegemea.

Wazungu inahusu nini?
 
Watanzania hata tunapokutana tunapoteza dakika kumi mpaka kumi na tano kusalimiana tu.

Sisi waswahili ni ngumu MTU kumsalimia juu Kwa juu, yaani umwambie Habari yako au asalamu alekum alafu umpite. Thubutu! Watasema unaringa.

Waswahili tunapenda umbeya, Baada ya salamu kinachofuata ni umbeya na kunafikiana
 
Kila mtu kawakosoa wa tanzania , sasa wenye hizo tabia wako wap ,au ndio unafki unaendelea?
 

Ukishakuwa mtu wa kufuata muda hapo kazini wenzako watakuona mnoko na kiherehere πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ni kweli kabisa, naunga mkono hoja I00%.

Matatizo yanayopekekea hayo ni mengi, pamoja na mila na desturi za Watanzania kuwa ni taifa la watu tegemezi.

Na Sisi ni tegemezi kwelikweli, hiyo inapelekea kuwa na Vijana wavivu.
 
Kuna Baadhi ya Mapadre na Maaskofu ni wabovu kwenye kutunza muda , unakuta wanatangaza misa itafanyika saa nne wao wanafika eneo la tukio saa sita !

Mtu akizidisha dakika kumi za makubaliano naondoka hiyo sehemu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…