Watanzania wenye asili ya kitutsi tulivyohenya kupata vitambulisho vya NIDA

Mkuu kuna koo za wahaya na wanyambo asili yao ni ya Rwanda. Hao wahangaza ni kabila linalotambulika kabisa kama wanyankole wanavyotambulika Uganda.

Kwa hiyo hata kabla ya Tanganyika, eneo la maziwa makuu haswa Rwanda, Burundi, Uganda na Tanzania magharibi lilikuwa ni eneo moja kwa interaction, kimila na hata asili. Ndio maana muhaya anashabihiana na waganda ama wanyarwanda kuliko wandengereko.

Kwa hiyo watu kuchukulia muingiliano wa Tanganyika na Rwanda umeanza leo. Naona wanakosea japo kwa vuguvugu lililopo sio mbaya nchi kuwa makini
 
ila kitendo cha kuvuta kis...hadi kuwa kirefu hapa msifanye
Haahaa hiyo wanafanya jamii za Uganda uko...daah umenkumbusha mbali aisee ni moja ya dream yangu kupata wa ivo aisee. naskia ukivuta ile maneno ukazama zako ni jotro la kufa mtu kama upo ndani ya koti la mjapani vile🤣
 
Kuanzia sasa Watutsi ni adui wa taifa, hamjatangaziwa tu
Naamini serikali haijalala,
Kagame amegusa pabaya na kibaya zaidi watu wenye vyeo na wenye asili ya huko anaojidaia ndani ya nchi za jirani zake watapata shida wasizostahili.

Hii itabidi niipe jina la Operation ya KIMYA KIMYA CHINI YA KAPETI.
Hatuwezi kudharauliwa kwa kiasi hicho.
 
Pole mvandimwe
Pole mvandimwe.
Hapo kwenye ine na bokisi nimecheka sana.
 
Sijasema umtaje baba, lakini mama na ujombani ziko too much.
No wonder mnakaziwa huko kwenye usajili.
Mama mama. Hamchelewi kuiba huku mpeleke huko ujombani.
Nunavyojua mwanamke wa kitutsi kubeba mimba ya asiye mtutsi ni kama haiwezekani, nimekaa nao nawafahàmu sàna.
Kama Siyo mtutsi unaoa kweli lakini matokeo ni hàya ya kupewa majina ya ujombani. Wana maana yao hao mjomba ni baba kule ututsini.
 
Sijasema umtaje baba, lakini mama na ujombani ziko too much.
No wonder mnakaziwa huko kwenye usajili.
Mama mama. Hamchelewi kuiba huku mpeleke huko ujombani.
Bila hivyo hamchelewi kunirudisha rwanda wakati sipajui,lazima niweke msisitizo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…