Watanzania wenzetu wenye magari ya milioni 200+ wanaoingiza pesa halali wanafanya shughuli zipi?

watu kibao

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2025
Posts
466
Reaction score
1,663
Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka

  • ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu
  • ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka
  • ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
 
Mission town,madeal(wizi/Rushwa nk)🤣🤣🤣🤣📌
 
Dili nyeusi nazipenda jamani, mwenye connection aniunganishe
 
Mtu anae nunua gari la ml 200 jua ana ×3 ya iyo ivyo haoni shida kutoa iyo 200+ ,
 
Back
Top Bottom