Prince Luanda
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 3,477
- 5,283
Sidhani kama umeelewa ulichoandika.!Mtu anae nunua gari la ml 200 jua hana ×3 ya iyo ivyo haoni shida kutoa iyo 200+ ,
Sidhani kama umeelewa ulichoandika.!Mtu anae nunua gari la ml 200 jua hana ×3 ya iyo ivyo haoni shida kutoa iyo 200+ ,
Kama mtu analipwa milion 3 kwa mwezi akijibana mbona ananunua miaka 10 ana milion 300
Unawachukukiaje wajamaa??Ujamaa ni dhana isiyotekelezeka. Hakuna maendeleo ya jumla jumla
Kadanganye watoto wadogo.Ni utaratibu tu, kuna watu ni wa ajiriwa wana access ya mikopo ya nyumba na magari
Kwma hiyo mil3 haina kazi na haitumii, otherwise hamna mtu wa kufanya hivyoKama mtu analipwa milion 3 kwa mwezi akijibana mbona ananunua miaka 10 ana milion 300
Kuna watu wanalipwa mil 40 kwa mwezi ,watu wanakula maisha mjini na hapo hajasaini document ya mtu Ili apate kamisheniKama mtu analipwa milion 3 kwa mwezi akijibana mbona ananunua miaka 10 ana milion 300
Hakuna Mtanzania mwenye kipato halali anayejipatia fedha kiasi hiki, wengi wao ni wababaishaji wasio na biashara inayoeleweka. Utakuta kijana hapa Sinza ana kijifremu tu na humo ndani ana visimu used au nguo zisizo na thamani na hauzi kivile lakini mwisho wa siku anafunga faida ya milioni 500, seriously? Vijana wengi wa Sinza ni wauza sembe na serikali inajuwa lakini kwa kuwa hawajali watakuambia kupitia polisi wao uchwara kuwa hatuna ushahidi wa kutosha, mtaani kila mtu anajuwa kuwa fulani ni muuza unga maana hawanaga siri hawa jamaa.Wabongo wenzetu nikiamaanisha watanzania wenye asili ya kiafriaka
- ❌Wanasiasa - Wengi wananenepa kwa kodi zetu
- ❌Wachungaji wa kilokole wengi wahuni wanatajirika kwa sadaka
- ❌wasio na shughuli zinazojulikana, wengi matapeli na dili nyeusi
Hali? Havai ? Hana familia? Hasomeshi?
Kuna side biashara nje mshahara. Nilikuwa nashangaa mtu ananunua gari ya 50mil wakati mshahara wake hauzidi 1.5mil. Ila nilipodadisi mishe zake nikagundua kuwa ajira alionayoni dhamana kubwa katika biashara anazofanya na ndizo zinazomwingizia pesa kiasi kwamba mshahara hauna kazi kwake. Hivyo watu wanadhamana kubwa nyuma ya pazia na biashara)mishe zenye pesa ndefu
Au wengine tunafanya uzembe kwenye maisha?Kila kitu ni malengo.... 200m wala sio hela ya kutisha.. ukiwa na discpline, ukajifuza kujenga shilingi juu ya shilingi, kufikisha hata 1B inawezekana.